marekani

  1. X

    JamiiForums Tanzania Safari ya Trump yaonyesha Marekani inaihitaji sana China

    Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping. Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane. Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO Jensen Huang...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran yasema hakuna mbadala wa kukubali masharti yake ya kusitisha vita na Marekani

    Wanaukumbi. Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14 lililowasilishwa na Tehran. Kauli hiyo ilichapishwa Jumatatu jioni kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa X...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRGC yaionya Marekani dhidi ya mashambulizi dhidi ya meli zake uvumilivu umefika mwisho. Italipiza kisasi kwa nguvu kubwa.

    Wanaukumbi. TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tehran yakataa tarehe ya mwisho iliyowekwa na Rubio, yasema majibu na pendekezo la Marekani yatajibiwa kwa 'wakati unaofaa'

    Wanaukumbi. Tehran yakataa tarehe ya mwisho ya Rubio, yasema jibu la pendekezo la Marekani linakuja kwa 'wakati unaofaa' —— Iran imekataa amri ya mwisho ya saa 24 iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, huku msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Esmail Baghaei akisema kwamba...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Balozi Mteule wa USA Tanzania: Tanzania bado ni mshirika muhimu wa Marekani

    Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani katika biashara, usalama na maendeleo ya kikanda. Katika hotuba yake mbele ya Kamati ya Seneti ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Balozi mtarajiwa wa Marekani Tanzania aongelea uchaguzi

    https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=1zvg40qWNAEird-_
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

    Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump. Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉. Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Marekani Imepwelewa Pakubwa Chombo Kimekwama Mchangani

    https://youtu.be/rXVVWfMv5wo?si=90SAmzHTuVpYN8ek
  10. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

    The Financial Times linasema: Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake...
  11. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Marekani yashambuliwa na Jeshi la Wanamaji la Iran ambalo inadaiwa liliangamizwa

    Salaaam! Itachukua muda mrefu mno kuwaelewesha MADUNYA na MABAZAZI huu msemo wa kiingereza usemao kwamba "The First Victim of War is the Truth". Mhanga wa kwanza wa vita siyo mtu, bali ukweli. Vita hutawaliwa na hisia, propaganda, vitisho na woga wa kila namna. Usipokuwa makini unaweza ukabebwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani yazamisha boti sita za Iran

    US Central Command imethibitisha Jumatatu kuwa majeshi ya Marekani yamezamisha boti za Iran na kukamata makombora pamoja na ndege zisizo na rubani wakati wa operesheni za “Project Freedom” katika Strait of Hormuz. Hii inaashiria tukio la kwanza lililothibitishwa la mapambano ya moja kwa moja...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kombola jipya la Marekani Hypersonic Dark Eagle kupelekwa Mashariki ya kati!

    Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba yapokea Kitabu cha Vassanji kutoka Marekani

    MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA VASSANJI KUTOKA MAREKANI Kwa wale waliokulia Kariakoo ya miaka ile akisoma kitabu chochote cha Vassanji ataiona ile Kariakoo ya enzi zetu na yote yaliyokuwapo miaka ile. Niliijua kalamu ya Vassanji kwa mara ya kwanza Amsterdam nyumbani kwa dada yangu marehemu Haki...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TRUMP asababisha hali ngumu Marekani. Shirika la ndege la Spirit la nchini Marekani limefilisika rasmi kutokana na kushindwa kumudu gharama za mafuta

    Shirika la ndege la Spirit la nchini Marekani limefilisika rasmi kutokana na kushindwa kumudu gharama za mafuta https://www.fox35orlando.com/news/spirit-airlines-shuts-down-operations-all-flights-canceled.amp 🛑 Nini kimetokea leo Spirit Airlines Imetangaza kufunga rasmi biashara zote mara moja...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kundi la makampuni la AMSONS la Tanzania kujenga hospitali 10 nchini Kenya kwa dola milioni 40 za Marekani

    May 2 2026 Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha kujitolea kwa pamoja katika kuhakikisha uzazi salama na kuanza kwa afya kwa watoto wachanga...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran yaumizwa na Total-Blockade ya Marekani yaomba mazungumzo!!

    Shirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani. Hii inakuja baaba ya mzingiro wa mlango bahari wa Hormuz kuanza kuumiza uchumi wa Iran!!
  18. 5

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga upya hifadhi yake ya Silaha Mashariki ya Kati baada vita na Iran

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ghana yakataa Msaada wa Marekani wa dola Milioni 109 za ufadhili wa Afya

    Ghana imejitoa kwenye mazungumzo ya mkataba wa msaada wa miaka mingi kutoka Marekani. Hatua hii imekuja baada ya Washington kudai kupewa ruhusa ya kupata taarifa binafsi za raia wa nchi hiyo, kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na serikali ya taifa hilo la Afrika Magharibi kilichozungumza...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Hakuwepo jambo la kifahari na ni aibu kubwa kwa mataifa makubwa ya Marekani na Israel kumuua kiongozi mkuu wa kidini wa Iran akiwa na miaka 86

    Mnamo FEBRUARI 28,2026 Mzee wetu mwenye hekima Ayatollah Ali Khamenei akiwa na umri wa miaka 86 tayari akiwa ameshiba siku akisubiri muda wake kwa amri ya Mungu wake aliuawa. Uamuzi wa kumuua katika umri huo haukuwa ushujaa bali ni ukatili na aibu kubwa kwa majeshi yenye nguvu kama...
Back
Top Bottom