marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiteknolojia ya Marekani inaweka shinikizo kwa biashara zake yenyewe

    Kampuni kubwa ya simu ya Marekani, Apple, inapanga kutoa punguzo la bei la yuan 700, sawa na dola za kimarekani 103 kwa simu zake zote za iPhone 14 Pro zinazouzwa nchini China. Hii ni kwa mujibu wa waraka wa ndani wa SUNPIE, wakala maalum wa kampuni ya Apple nchini China. Na katika baadhi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya wenye umri kama wangu wanamiliki majumba

    Hi Huko Marekani na Ulaya watu wenye umri kama wangu wanamiliki majumba makampuni makubwa sana lakini mimi huku Tanzania njoo unione bado nakaa kwenye nyumba ya urithi Vingunguti. Dah life is not feya kabisa 😭😭😭
  3. JamiiForums Tanzania Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

    Wakuu haya ndiyo matendo makuu sasa, fanya mambo kisha unapotea. Mwanaume mmoja ametembelea ubalozi wa Uturuki nchini Marekani na kutoa msaada wa Dola za Kimarekani milioni 30 (zaidi ya bilion 60 za Kitanzani). Msaada huo ni kwa ajili ya huduma za kiutu kwa wahanga wa Tetemeko la Ardhi. Mtu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaswa kuacha wasiwasi wa kupita kiasi kuhusu China

    Hivi karibuni puto moja la uchunguzi wa hali ya hewa la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya limefuatiliwa sana na Wamarekani. Kutoka kugundua puto hilo tarehe Mosi hadi kuiliangusha kwa makombora tarehe 4 mwezi huu, baadhi ya wanasiasa wa Marekani wametumia fursa hiyo kuchochea wazo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kama Marekani itaiga inachofanya China barani Afrika, sio tu itajivunia heshima bali pia haitapata inachotaka

    Siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang kumaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, waziri wa fedha wa Marekani na balozi wa nchi hiyo kwenye Umoja wa Mataifa walianza ziara zao barani humo mmoja baada ya mwingine. Na imeeleweka wazi kuwa lengo kuu la ziara hizo ni...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani haipaswi kukaa kimya juu ya video ya siri kuhusu kampuni ya Pfizer

    Hivi karibuni, video ya siri inayomwonyesha Jordon Trishton Walker, aliyeelezwa kuwa Mkurugenzi wa wa Pfizer anayeshughulikia Utafiti na Maendeleo, Operesheni za Mkakati na Mipango ya Kisayansi ya mRNA, akisema jinsi kampuni hiyo inavyotafiti kubadili virusi vya Corona ili kuongeza faida ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kushirikiana kibiashara kupitia sekta binafsi

    07 Feb, 2023 SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo mbili yaliyofanyika hivi karibuni mjini Washington...
  8. JamiiForums Tanzania Milioni 23 za bure kutoka ubalozi wa Marekani kwa wenye mawazo ya miradi (AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND)

    Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu. Vijana wenzangu ninawapenda sina wivu na mtu, mimi ni mpenda maendeleo tuchangamkie hii fursa. US AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani yashindwa kutungua balloon la China

    Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi. Licha ya kutuma makombora mazito kutungua...
  10. JamiiForums Tanzania China yatuma puto la kijasusi Marekani!

    Ni uchokozi ama ni nini?! ============= Habari za puto la kijasusi la China kuelea juu ya Marekani zimewaacha wengi wakishangaa kwa nini Beijing ingetaka kutumia chombo kisichokuwa cha kisasa katika uchunguzi wake wa eneo la Marekani. Uwezo wa puto hili hauko wazi, lakini wataalam wanasema...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Washington: Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa $ 2.2B kwa Ukraine yakiwemo makombora ya Masafa marefu

    Leo jumatano Wizara ya Ulinzi ya Marekani inajiandaa kutangaza msaada mpya wa kijeshi Kwa Ukraine wenye thamani ya $ 2.2B. Msaada huo Kwa mara ya kwanza utajumuisha makombora ya Masafa marefu ya GROUND LUNCHED SMALL DIAMETER BOMB (GLSDB) yenye uwezo wa kupiga umbali wa 150km. Hata hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yaweka wazi, iko tayari kutumia mbinu za kijeshi kuzuia Iran kumiliki nyuklia

    Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu.... Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia.... Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani kupigana vita na China 2025, Jenerali wa Marekani bw. Mike

    Jenerali wa jeshi la anga la Marekani Bw. Mike Minihan ameliandikia ujumbe jeshi la Marekani kuwa tayari kwa ajili ya kupambana na China mwaka 2025. Vyanzo vya habari: Swali kutoka kwa lieutenant katika jeshi la marekani hili hapa : Maswali yangu: 1. Ipi ni athari kubwa ya ujumbe wa jenerali...
  14. JamiiForums Tanzania Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

    Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi. Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini. ======= US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani...
  15. JamiiForums Tanzania Somalia: Mfadhili Mkuu wa Islamic State auawa na Jeshi la Marekani

    Serikali ya #Marekani imesema Wanajeshi wake wamefanikiwa kumuua #BilalalSudani ambaye ni kiongozi wa Kikanda wa ISIS pamoja na viongozi wengine waandamizi 10 katika shambulio la kushtukiza. Waziri wa Ulinzi, #LloydAustin amesema Januari 25, 2023 Rais Joe Biden alitoa agizo kwa Jeshi baada ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta broker wa ETFs za Marekani

    Habari wakuu. Kuna exchange traded funds (ETF) za kampuni ya Marekani nilitaka kuwekeza kidogo ila wanahitaji tu US residents. Kama kuna mtu anamjua broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia yeye naomba msaada tafadhali.
  17. M

    JamiiForums Tanzania WASHINGTON DC: Marekani yakubali kutuma vifaru 31 aina ya M1 Abrams nchini Ukraine

    Msemaji wa White house amesema kwamba miezi michache ijayo Marekani itatuma vifaru aina ya M1 Abrams nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wataanza kupatiwa Mafunzo ya vifaru hivyo nchini Poland kwa muda wa miezi 3. Hayo yanajiri siku moja baada ya Ujerumani kukubali kutuma vifaru 29 aina ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

    Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Babu aua watu 10 kwa risasi na kujeruhi 10 ukumbini kisha naye ajiua

    Tukio limetokea ndani ya ukumbi wa muziki wakati watu wenye asili ya Asia wakisherekea Sikukuu ya Lunar maeneo ya California. Polisi wamesema mwili wa mshukiwa Huu Can Tran (72) umekutwa kwenye gari ikielezwa alijipiga risasi baada ya kuzingirwa na wanausalama. Bado haijawekwa wazi sababu za...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: Nyaraka nyingine 6 za siri zakutwa nyumbani kwa Rais Joe Biden

    Wachunguzi wa Idara ya Haki ya Marekani (DoJ) wamesema wamezipata nyaraka hizo wakati wa upekuzi wa saa 13 katika nyumba iliyopo Delaware. Baadhi ya nyaraka hizo ni za wakati Biden akiwa Seneta, nyingine akiwa Makamu wa Rais chini ya Barack Obama, ambapo Wakili wa Biden, Bob Bauer amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…