Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,007
Nyakati zimebadirika sana , kwa wale wanaojua siri za ndani ni uongo kuwa Marekani kwa sasa ina chochote kwa ajili ya Afrika, kama ilikuwa inachukua kwa kunyonya namna ile miaka yote wakati bado ipo vizuri kiuchumi je sasa hivi itachukua kwa namna gani, haina lolote ndio maana viongozi wote Afrika wameshapondea huo upuuzi wa ujio ujio wa hao watu wao,