Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun jana aliilaumu Marekani kwa kushindwa kutimiza wajibu wake ikiwa kama kiongozi wa Baraza la Usalama anayeshughulikia vikwazo vya Sudan Kusini.
Wajibu wa kiongozi anayeshughulikia vikwazo ni kusaidia Baraza la Usalama kutoa azimio...
Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.
Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU...
Rais wa Marekani, Joe Biden amesaini amri ya kiutendaji ambayo amedai italeta uwajibikaji zaidi na ufanisi kwa polisi. Amefanya hivyo katika kumbukumbuku ya mwaka wa pili tangu kutokea kwa mauaji ya Georges Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa na afisa wa polisi mzungu.
Mabadiliko hayo yanalenga...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka salama watoto pamoja na shule.
Akitolea mfano wa vifo vilivyotokea katika shambulizi la risasi...
China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan.
China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine...
Baada ya Urusi kufungiwa njia zote ilizokuwa inatumia kulipa madeni yake na Marekani, wawekezaji watazidi kuikimbia Urusi.
Urusi kwa sasa ni kama kisiwa, imetengwa na Mataifa yote yenye uchumi mkubwa duniani, hata China yupo naye kinafiki tu.
Je, Moscow kujibu mapigo?
____________________...
Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake kutokana na hali ya umasikini wake na familia yake.
Rafiki wa karibu wa kijana huyo amesema...
Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia.
Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez...
Marekani kuna vyama vikuu viwili ..
1. Democrasts - Biden, Obama, Clnton, n.k
2. Republicans - Trump, Bush, Kennedy, n.k
Democrats kimekuwa chama chenye maovu mengi mno ila kwavile wao ndio wamiliki wa media nyingi kama facebook, twitter, cnn, n.k, wanajisafisha sana kwa media na hata huku...
Japan ilikuwa ni mshirika mkubwa wa Hitler kwenye vita kuu ya pili!! Japan walikuwa ni wababe wa vita na wakatili sana!! Waliwatesa sana wachina na korea ya kusini enzi hizo. Hadi leo Wachina na wakorea ya kusini hawaivi kabisa na wajapan. Baada ya vita kuu ya pili Hitler na Japan waliposhindwa...
Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni...
Kila nikijaribu kufikiria Raia wasio na hatia waliouawa huko Hiroshima na Nagasaki zaidi ya Raia laki 3 kufa papohapo na wengine mamilion kuathiriwa na mionzi ya yale mabomu mawili ya Hiroshima na Nagasaki huwa najiuliza swali moja tu! Kwanini Duniani haikuiwekea vikwazo Marekani?
Kwanini Dunia...
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema mpango wa Marekani uitwao “Mkakati wa Indo Pasifiki” utashindwa tu, kwani unasababisha jumuiya ya kimataifa kuwa na wasiwasi mkubwa na kuwa macho, hasa katika eneo la Asia-Pasifiki.
Bw. Wang ameyasema hayo kwa wanahabari baada ya mkutano wake na...
Vita ya kwanza ya dunia iliibuka kutokana na kuwepo kwa mataifa (multipolar) yenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi yaliyokosa kuheshimiana! Baada ya vita hiyo, kukatengenezwa 'the league of nations' kama njia ya kutengeneza utengemano kati ya mataifa hayo!
Hata hivyo, vita hiyo haikuwa fundisho...
Maneno hayo ya secretary wa US- Antony blinken yanakuja baada ya Russia kushikilia moja kwa moja miji ya bandari na viwanda ya Odesa na mariupol.
Russia ilizuia usafirishaji wa bidhaa za Chakula na mazao kwa kile kilichodaiwa kua Chakula na mazao hayo yamekua yakienda kwenye maghala ya nchi za...
Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked, unjustified war of choice.
When we suspended operations at the embassy, we made the point clear: while we...
Kunguni ni wadudu wadogo wa familia ya Cimicidae Wadudu hawa huishi kwa kufyonza damu ya wanyama wenye damu moto (mamalia na ndege). Spishi hii huishi mara nyingi katika vitanda vya watu na masofa majumbani kwetu.
Watu wengi kwakutokuelewa wanadhani na wanaamini kunguni uwapata watu wachafu...
Fadhili Mpunji
Hivi karibuni naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bibi Wendy Sherman aliyekuwa ziarani nchini Angola, alisema Angola na nchi nyingine za Afrika kutumia vifaa vya kampuni ya Tehama ya China HUAWEI, ni kuhatarisha usalama wa nchi. Kauli hiyo aliyotoa Bibi Sherman baada ya...
Jamani naombeni msaada wa mawazo juu ya kufanya malipo online nahitaji kulipia visa ya Canada Leo siku ya nne.
kila nikilipia sipati OPT code kutoka bank ili niingize kukomferm malipo, lingine nahitaji mwenye kujua nimaswali gani haswa wanauliza pale ubalozi wa Marekani maana Nina interview...
Kwa mujibu wa takwimu kutoka tovuti ya "Gun Violence Archives" ya Marekani, tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mjini Buffalo, New York, tarehe 14, limekuwa tukio la 198 la mauaji ya watu kwa kutumia risasi nchini Marekani mwaka huu, na pia ndilo baya zaidi kwa mwaka huu. Kijana mzungu mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.