GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,682
- 109,098
Kinachofanyika sasa katika Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni siyo Uzikaji wa Staha bali ni kutupa tu Maiti kisha Kuifukia na Waombolezaji Kutawanyika.
Ni kawaida kwa Muombolezaji akienda Mazikoni hapo Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni kukutana na Mifupa ya Marehemu na hata Mafuvu yao kutokana na kwamba Eneo limeshajaa na Watu ( Wafiwa ) pamoja na Mamlaka zinalazimisha Kuzika kwa Kupandiana na Kushindiliana katika Kaburi kitu ambacho GENTAMYCINE nakiona si kizuri kwa Wapendwa wetu Waliotutangulia mbele za Haki ( Kufariki ) dunia.
Mamlaka husika iliangalie hili upesi.