Mh!! Marehemu Sheikh Yahaya Hussein enzi zake

enzo1988

JF-Expert Member
May 26, 2018
723
2,819
Huyu sheikh alisifika hapa ndani na nje ya mipaka kwa elimu na maarifa mbalimbali kuhusu nyota,unajimu, utabiri, uganga n.k. Mimi binafsi namkumbuka aliposema kuwa pale Uingereza mkuu wa majini ni Tony Blair.!!!!!!!!!!! Kwa duniani mkuu wa majini ni Queen Elizabeth(Huyu aliyefariki hivi karibuni)!!!!!!!!!!!!! Je, ni kweli???????????
Wale wenye elimu za kiroho tunaomba majibu!!!!!
Nb : Sayansi haiwezi kuthibitisha mambo ya kiroho.

Source channel ten: Kipindi cha Nyota Zenu cha Tarehe 5 April 2010.mp4-

View attachment 2358946
Labda!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu sheikh alisifika hapa ndani na nje ya mipaka kwa elimu na maarifa mbalimbali kuhusu nyota,unajimu, utabiri, uganga n.k. Mimi binafsi namkumbuka aliposema kuwa pale Uingereza mkuu wa majini ni Tony Blair.!!!!!!!!!!! Kwa duniani mkuu wa majini ni Queen Elizabeth(Huyu aliyefariki hivi karibuni)!!!!!!!!!!!!! Je, ni kweli???????????
Wale wenye elimu za kiroho tunaomba majibu!!!!!
Nb : Sayansi haiwezi kuthibitisha mambo ya kiroho.

Source channel ten: Kipindi cha Nyota Zenu cha Tarehe 5 April 2010.mp4-

View attachment 2358946
Alikua mjasiria Mali aliwahi kutudanganya kuwa atakaye mpinga JK kwenye uchaguzi basi atakufa, Lakini wakina lipumba,Cheyo, mpaka leo Bado tunao. Alikua mjanja mjanja sana yule mzee
 
kabisa. Alikuwa mpigaji kama wapigaji wengine tu aliefanikiwa kuwa na hadhira ya malimbukeni wanaopenda kudanganywa kwa mazingaombwe. Kama alikuwa fundi sana iweje alishindwa kuepuka kifo?
 
Kuna mtu humu ndani anapinga utawala wa kimalkia au kifalme, akisema umepitwa na wakati. Wenzetu wameendelea na wanajua maana yake. Huenda nguvu zote za kiuchumi ziko pale. Huo utawala huenda unashirikiana na ulimwengu tusioujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mataifa yote makubwa na yaliyoendelea hayana utawala wa kiimla/kifalme anzia USA,China,India n.k

How can you justify your statement.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huyu sheikh alisifika hapa ndani na nje ya mipaka kwa elimu na maarifa mbalimbali kuhusu nyota,unajimu, utabiri, uganga n.k. Mimi binafsi namkumbuka aliposema kuwa pale Uingereza mkuu wa majini ni Tony Blair.!!!!!!!!!!! Kwa duniani mkuu wa majini ni Queen Elizabeth(Huyu aliyefariki hivi karibuni)!!!!!!!!!!!!! Je, ni kweli???????????
Wale wenye elimu za kiroho tunaomba majibu!!!!!
Nb : Sayansi haiwezi kuthibitisha mambo ya kiroho.

Source channel ten: Kipindi cha Nyota Zenu cha Tarehe 5 April 2010.mp4-

View attachment 2358946
Alitabiri 2005 Rais angekuwa mwanamke, ilipofika uchaguzi akapita JK, watu wakamuuliza mbona ulisema tutakuwa na Rais mwanamke na haijawa, akajitetea kuwa hamuoni aliyepatikana ana sura nzuri ya kuvutia na hana ndevu?
 
Wakristo wanatoa majini hawafugi majini
Wanao Toa majini ndo huwa wanayafuga ,,,,,angalia wanawake wengi ndio Wanatolewaga majini kwakuwa hawafanyi majosho maalum,,,katika biblia kama ilivyo katika Uislamu wanawake wakiwa ktk hedhi,au baada ya kuzaa au wakiingiliana na wanaume wanatakiwa waoge majosho maalum ya kujitakasa,Kwa kufanya hivyo wanajiepusha na mapepo wachafu,sasa wanawake WA kiislamu wengi wao Kwa mafundisho ya dini huwa wanaoga,,,,,sasa hao wenu huwa Hawaogi hao majosho matokeo yake wanakuwa nyumba za mapepo na ndio maana kila siku wanatolewa mapepo huko chachi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom