mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Issue ya Covid-19, Serikali izuie safari za India Mara moja

    Hapa nchini tuna jumuia kubwa ya wananchi wenzetu ambao wana Asili ya India, miongoni mwao huwa wanasafiri kwenda na kurudi Ibdia kwa shughuli za kijamii, kibiashara na Kidini. Na tunajua kuwa hali ya India kwa sasa kutokana na Janga la Covid 19 kuwa ni kubwa Naishauri serikali kufunga mara...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kura moja ya Lindi ina uzito mara tano ya Dar. Nani ameamua?

    Kura moja ya raia wa Lindi inabeba uzito kisiasa mara tano kuliko raia wa Dar es Salaam. Kwa nini? Angalia namba (nazitumia za 2016 na 2010, 2020 sijaona lakini kimsingi ni vile): Dar es Salaam wakazi 5,465,420 (2016), majimbo ya bunge 10, maana raia 546,000 = mbunge 1 Lindi wakazi...
  3. He Is Him

    JamiiForums Tanzania Movie gani ya kibongo hata uirudie mara nyingi huwezi ikinai.

    Kuna wakati bongo movie wanatengeneza movie nzuri saana mpaka unataman uiangalie mara kwa mara Kwa mfano mimi huwa napenda movie za tiny white&ringo(kamanda mstaafu,n.k) huwa siwachoki kuwaangalia. Je movie gani ya kibongo kwako ilikuwa ni best hata ukiirudia huwezi ikinai.
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Chande: Kipande cha Jangwani kinafanyiwa usafi mara kwa mara kupunguza athari za mafuriko

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Chande amesema ili kupunguza athari za mafuriko kwa sasa, kipande cha Mto Msimbazi cha Jangwani kinafanyiwa usafi wa mara kwa mara na Wakala wa Barabara TANROADS Amesema Serikali imepanga kubadili eneo la Bonde la Mto...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena CCM waliiweka rehani Zanzibar Oktoba, 2020. Mara hii ilikuwa too much

    Ilikuwa ni Zanzibar tena kwenye hesabu kali za kuvurugwa na kuvurugika. Mara hii hesabu zilikuwa kali kuhakikisha kinatumika kivuli cha uchaguzi ili kuivuruga Zanzibar na mwelekeo wao wa kudai haki kwenye Muungano na usawa. Kazi ya CCM kwenye hili haijawahi kuwa na makosa tokea kuundwa kwake...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tulipeleka barua za kufukuzwa uanachama Wabunge mara mbili

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12 Mnyika ametoa ushahidi huo leo, baada ya Naibu Spika wa bunge kusema kuwa hawana taarifa ya wabunge kufukuzwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza naomba Mwenyekiti wa Waendesha Daladala Jijini Mwanza awekwe ndani mara moja

    Jana nimemsikia Mwenyekiti wa Waendesha Daladala jijini Mwanza anaitishia serikali kwamba wasipowaondoa Waendesha Bajaji eneo la Buzuruga ataitisha mgomo mara moja! Ni ajabu sana huyu mtu kubaki uraiani mpaka sasa, anaitishia serikali yeye kama nani? Kuna watu wameanza kuleta dharau za...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Assistant Surveyor at TANROADS – Mara

    Ref. No. AB.276/322/01 /28 TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi -Autonomous Agency under the Ministry of Works and Transport established on July 1,2000 and is responsible for the day-to- day management of the Tanzania Mainland’s Trunk and Regional Roads Network. Its primary...
  9. The MaskmaN

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Ilikuwaje mara yako ya kwanza 'kula tunda'

    Hello Guys Leo ningependa tushee visa, hisia, vituko n.k Ilikuwaje kwa mara yako ya kwanza kupata utamu/kuingiliana na mwanamke/ku do /kula tunda /kuonja papuchi? Mie nakumbuka ilinichukua takribani Nusu Saa kusimama kwa Hofu niliyopata mpaka mdada wa watu akaanza kuingiwa na Wasi wasi lakini...
  10. Kwisaro

    JamiiForums Tanzania Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

    Mkoa wa Mara ni miongoni mwa mikoa ambayo imebahatika kutoa viongozi wengi katika Serikali zote za kuanzia muasisi wa taifa hili.Lakini ni kati ya mikoa ambayo maendeleo yake yako nyuma sana, ukifatilia kiundani ni kuwa hata viongozi ambao walipewa nyadhifa mbalimbali wao kwa wao hawaelewani...
Back
Top Bottom