Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4.
Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8 viwanja vya mikoani na Simba atakuwa kacheza mechi 5 viwanja vya mikoani, kwa maana hiyo mzunguko wa pili...