Mara: Kijana apanda kwenye grid ya taifa

Angalia hapa
810A6818-0758-4D5B-BD46-B36E5315B6BB.jpeg
 
Taarifa kwenye picha kuna Mwananchi amepanda NGUZO ya umeme wa msongo wa kilovoti 132 njia Mwanza-Musoma Nguzo namba 500 iliyopo Mwibagi Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara.

Mara baada ya kupata taarifa watu wetu wamewasiliana na Mkuu wa kituo cha polisi Kiabakari na kufanikiwa kufika eneo la tukio kwa wakati.

Timu yetu imefika na kumshawishi mhusika kushuka bila mafanikio. Jitihada za kumshusha bila kudhurika zinaendelea, na tunaweza kulazimika kuzima laini hiyo ambayo itapelekea Mkoa wote wa Mara kukosa umeme.
 
Anaulizwa apewe nini ili ateremke?
Anajibu: "mna nini nyie?" huku akicheka kwa kebehi.
Unakata umeme mkoa mzima hujui kuna wengine wanafanyiwa operations mda huo na umeme unatakiwa , unazima kisa chizi mmoja , leave him alone 😁😁😁😁
 
Taarifa kwenye picha kuna Mwananchi amepanda NGUZO ya umeme wa msongo wa kilovoti 132 njia Mwanza-Musoma Nguzo namba 500 iliyopo Mwibagi Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara.

Mara baada ya kupata taarifa watu wetu wamewasiliana na Mkuu wa kituo cha polisi Kiabakari na kufanikiwa kufika eneo la tukio kwa wakati.

Timu yetu imefika na kumshawishi mhusika kushuka bila mafanikio. Jitihada za kumshusha bila kudhurika zinaendelea, na tunaweza kulazimika kuzima laini hiyo ambayo itapelekea Mkoa wote wa Mara kukosa umeme.View attachment 2488682
Eti mtajua nyinyi,jamaa shenzi sana
 
Back
Top Bottom