mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Eti deep state , Mara Tss twende Sasa isieshindwa Sasa ameingia

    Mtapigwa Kama ngoma, mtaishi maisha magum Kama wachawi, inchi hii ya Watu wote mda utaongea , Linda taifa na sio vyama Mungu atapunguza adhabu zenu ,kamwe usipate laana KWA ajili ya Watu wengine Wanatambelea v8 wewe pikipiki Kama sio baiskeli, jitambue na chukua HATUA na Mungu atawabariki
  3. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka mara yako ya kwanza?

    Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza? Ladies and gentlemen, how y'all doing? I have some true story to tell. I hope you cherish thee. kwanza naanza na disclaimer: I was 14 at the time Sasa tuweke kimalkia pembeni twende mojakwamoja kwenye story Nakumbuka mpaka nilipofika form 2 nlkuwa bado...
  4. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

    .hgjk
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ila Nyiee Yanga raha, mara ya mwisho umeona wapi mua kama ule wa Aziz Ki?

  6. Inalipa

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa katika hali gani mara tu ulipoanza kutumia kilevi?

    Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje?
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT akiwa na mgeni wake Rais wa DRC mara baada ya kuwasili Ikulu Dar es Salaam

  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Musoma: Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mara kwa mara binti yake wa kufikia

    Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi. Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

    Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki. Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea...
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

    Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
  12. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

    Hii ishu niliisikia kwa aunt,toka mwezi wa 6 hivi, nikajiunga vinzuri ila ishu ilikuja pale nilipotaka kuweka pesa, kila nikisema ngoja nikaweke pesa nakuwa bize napotezea. Nikaipotezea kama miezi 2, mwezi wa 8 aunt akanionyesha ela zake kwenye account duuh account imeshiba kinoma inakama...
  13. adriz

    JamiiForums Tanzania Nimenisurika mara nyingi kupigwa na utapeli wa mitandaoni kwa kutumia mbinu hii

    Habari za muda huu wana JF Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking) Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara nyingi mwanaume ukimhudumia sana mwanamke lazima upigwe na kitu kizito?

    Utakuta mwanaume uko vizuri kipesa, unamuona mdada unampenda, ila amepauka kwa umaskini. Unajitoa kumhudumia kipesa kwa hali na mali, hadi mdada ananawiri, ila atakachokuja kukulipa huyo binti, ni heri tu angekuambia tuachane. Niliona makala YouTube, mdada mmoja wa Kifilipino alimuua mume wake...
  15. 5

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine sasa waingia Luhansky kwa mara kwanza tokea Urusi avamie

    Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo. Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya usafiri Russia walikuwa wanautumia kupitisha vifaa vyao mbali mbali kwa ajili ya vita, silaha...
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Mataifa ya Magharibi (Ulaya na Marekani) wakaacha Unafiki mara moja

    Thread was deleted
  17. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo cha bei ya vyakula kupanda zaidi ya mara dufu (inflation)? Nini kifanyike kutunusuru na janga hili kubwa?

    Tunaambiwa kuwa mfumuko wa bei (inflation rate) nchini kwetu bado ni mdogo sana, ni chini ya asilimia 5%! Wao wanauita single digit inflation. Lakini kwa miezi ya hivi karibuni, bei za vyakula muhimu sokoni vimepanda kwa zaidi ya maradufu. Yaani mfumuko wa bei wa vyakula ni zaidi ya asilimia...
  18. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mara wataka majambazi washughulikiwe kimila

    Wakazi wa Kijiji cha Nyamakobiti, Kata ya Majimoto, mkoani Mara, wametaka warejeshewe madaraka ya kutumia mila na desturi zao katika kushughulikia wahalifu sugu, wakiwamo majambazi, ikiwa polisi watatishwa na maneno ya wanasiasa. Hayo yameelezwa kupitia mkutano wa hadhara, ulioandaliwa na...
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania Asilimia 100 ya wrong number ninazopokea ni kutoka Mkoa wa Mara, kwanini?

    Wiki haipiti sijapokea simu kwenye moja ya namba yangu, ukiuliza mtu anasema yuko mara, kingine wanakua ving'ang'anizi yani ukimwambia mtu humjui analazimisha mfahamiane, na unakuta mtu amepiga hata mara tatu, unadhani ni mtu anaekufahamu labda anadharura. Why Mara?
Back
Top Bottom