Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,404
Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k.

Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji ka chumvi huko mpakani, subirini vifaru vije ndio mziki utakua mtamu.
============

The Ukrainian Armed Forces claimed Tuesday to have "liquidated" 850 Russian servicemen during the last day of fighting and raised to more than 127,000 the total number of Russian soldiers killed since the beginning of the invasion, a figure that contrasts with the one provided by Moscow, which has not updated its casualty toll for weeks.

The General Staff of the Ukrainian Army has pointed out in a message published on its official account on the social network Facebook that since the outbreak of the war on February 24, 2022, 127,500 Russian servicemen have been "liquidated", while 3,201 battle tanks, 2,197 artillery systems and 221 Russian anti-aircraft defense systems have been destroyed.
 
Jana walichinjwa 850🥱🥱
1675158679297.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
We bogus kweli,2009 pakidaiwa Kuna jwtz 50k,na wadau wakisema ni zaidi ya hapo,hiyo figure ya 50k binafsi naisikia tangu 2004
 
Tanzania haiwezi afford kuwa na wanajeshi active 50,000 kwa bajeti ya jeshi ilivyo na mishahara & marupurupu yalivyo.
Ukiachana na tulipoenda vitani dhidi ya Iddi Amin tulipofanya mobilization na kupata wanajeshi wengi, hatujawa na idadi kubwa baada ya hapo
 
Bajeti ya jwtz we waijua!?..binafsi sijawahi sikia bajeti ya wizara ya ulinzi..kipindi Cha mkapa mpaka jk walikua wakiajiriwa wajeda wasiopungua 3k kwa mwaka
 
Tanzania haiwezi afford kuwa na wanajeshi active 50,000 kwa bajeti ya jeshi ilivyo na mishahara & marupurupu yalivyo.
Ukiachana na tulipoenda vitani dhidi ya Iddi Amin tulipofanya mobilization na kupata wanajeshi wengi, hatujawa na idadi kubwa baada ya hapo
Bajeti ya Jeshi ni kiasi gani?
 
Tanzania haiwezi afford kuwa na wanajeshi active 50,000 kwa bajeti ya jeshi ilivyo na mishahara & marupurupu yalivyo.
Ukiachana na tulipoenda vitani dhidi ya Iddi Amin tulipofanya mobilization na kupata wanajeshi wengi, hatujawa na idadi kubwa baada ya hapo
Kipindi Cha mkapa na kikwete wakiajiriwa watu walau 3k kila mwaka,ajira za jwtz zilisita kipindi Cha magu,jwtz kuwa na wanajeshi 28k SI kweli...lakini matumizi kwenye ulinzi na usalama huwa Siri na kipaumbele
 
Back
Top Bottom