Hii ni mara ya pili polisi wanashambuliwa mtaa wa Narung'ombe na Ndanda, Kariakoo

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Nov 29, 2022
1,221
1,269
Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili

Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika mtaa wa ndanda na narungombe ni kichapo tu na aibu kutoka kwa vijana wa kisambaa waendeshao bodaboda

Na hii inathibitisha udhaifu wa polisi au dhulma waifanyayo

Kama wasemavyo vita inaweza kuanzia huku huku kwenye bodaboda na machinga, sikuamini macho yangu, polisi anachangiwa mpaka wanakula kona😂😂🤣🤣🤣, picha ipo ila kimaadili haifai kuwekwa hapa
Kazi kwenu
 
Nitumie pm mimi niilete hapa
 
mkuu unazungumzia polisi kupigwa au kuzongwa zongwa na wasifanye kazi kwa usahihi???

wapige polisi halafu waendelee kukaa hapo kijiwenihauko serious.

aither umeonewa au umefanya kosa,kitendo cha kumpiga askari ni kutafuta kesi ya msingi kabisa,inayoweza kusababisha kufungwa,kulemazwa au kufa kabisa.
 
Kwahiyo kumzuia polisi asifanye kazi kwa usahihi ni sawa tu?
Any way vitasa vimetembea hapa na ndio kinachonishangaza imekuwaje? Ndio nikasema labda operation ni batiliiiii
Kwanini wawe wapole?
 
Na tena anasema picha zipo, sasa hapo si rahisi tu kuzipitia na kuwakamata waliohusika...bila hata kutumia nguvu ya ziada...unadaka mmoja baada ya mwingine...akikaa ndani miaka miwili mitatu atakuwa Mwalimu wa wengine juu ya kufuata sheria.
 
Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili

Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika mtaa wa ndanda na narungombe ni kichapo tu na aibu kutoka kwa vijana wa kisambaa waendeshao bodaboda

Na hii inathibitisha udhaifu wa polisi au dhulma waifanyayo
Kama wasemavyo vita inaweza kuanzia huku huku kwenye bodaboda na machinga, sikuamini macho yangu, polisi anachangiwa mpaka wanakula kona, picha ipo ila kimaadili haifai kuwekwa hapa
Kazi kwenu
Mkuu, unazungumzia polisi au wale wagambo waliowekwa kufanya operation uchwara ya kionevu kuwaonea bodaboda vijiweni kwa kisingizio cha wrong parking na kisha kuwatoza faini ya 70,000/?

Kama ni hao sio polisi ni wagambo na kipigo ni haki yao kabisa
 
Ni wote kwa pamoja na polisi n auniform zao wapo na silaha zipo na vitasa vikapigwa na kukimbia wakakimbia,
Ndio nauliza ni operatin batiliiii?
 
Kwahiyo kumzuia polisi asifanye kazi kwa usahihi ni sawa tu?
Any way vitasa vimetembea hapa na ndio kinachonishangaza imekuwaje? Ndio nikasema labda operation ni batiliiiii
Kwanini wawe wapole?

kuzuia kazi ya polisi ni kosa moja,opp batili ni kosa jingine ambalo halihalalishi kosa la kwanza.ndio maana watu huomba kwenda mahakamani kutafsiri uhalali wa kazi ya kipolisi iliyofanyika.

vitasa unawezarusha tu maana inategemea na shibe uliyo nayo,ila upole wao baada ya vitasa vyako unalengo maalum,huwezi elewa mpaka watakapoonhezeka.
 
anachangiwa mpaka wanakula kona😂😂🤣🤣🤣, picha ipo ila kimaadili haifai kuwekwa hapa
Kazi kwenu
1673776188980.png

Waache watandikwe kama wao wanavyowafanyia wengine
 
Mkuu, unazungumzia polisi au wale wagambo waliowekwa kufanya operation uchwara ya kionevu kuwaonea bodaboda vijiweni kwa kisingizio cha wrong parking na kisha kuwatoza faini ya 70,000/?

Kama ni hao sio polisi ni wagambo na kipigo ni haki yao kabisa

tumeomba picha ya polisi wakipigwa na kukimbia haitumi
 
Back
Top Bottom