mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Sildenafil Citrate

    Selena Gomez: Huwa nafuta App ya Mtandao wa Instagram kwenye simu yangu walau mara moja kila wiki

    Mwaka 2017, akihojiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu namna anavyoutumia mtandao huo, Selena alinukuliwa akisema “Huwa nafuta App ya mtandao huu walau mara moja kila wiki sababu Watu huandika maoni makali kama vile wanataka kukutoa roho” Mwaka 2019 aliamua kusitisha matumizi ya mtandao wa...
  2. Roving Journalist

    Prof. Mkenda akitaka Chuo cha MJNUAT kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake

    Na WyEST, BUTIAMA - MARA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake ambao ndio msingi halisi wa...
  3. BigTall

    DOKEZO Mara: Adaiwa kujinyonga kwa kamba za viatu katika Ofisi za Kijiji baada ya kukamatwa akidaiwa kutompeleka mtoto shule

    Kuna taarifa mbaya toka Kijiji cha Sota, Kata ya Tai ,Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo Afisa Mtendaji wa kijiji hicho na mgambo wake wanatuhumiwa kumpiga hadi kufa ndugu Justine Chagwa Oliech na baadae kutundika mwili wake ndani ya Ofisi ya Mtendaji ili ionekane kajinyonga mwenyewe kwa kamba...
  4. MSAGA SUMU

    Mfanyabiashara Mwanza anunua ndege binafsi ya kutembelea

    Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele. Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) ni...
  5. Black Butterfly

    Mzazi zungumza na mwanao kila mara, dunia imeharibika hii

    Wakuu, nimewaza sana kuhusu malezi ya watoto leo. Wazazi tunapaswa kujua mabadiliko ya tabia za watoto yanategemea zaidi ukaribu walionao kwa Mzazi au Mlezi wao na kwa kiasi gani Wazazi wanazungumza kuhusu makuzi, fursa, hatari zilizo mbele yao na jinsi ya kuzikabili au kuziepuka. Watoto wengi...
  6. Mamujay

    Nini cha kufanya unaponunua gari kwa Mara ya Kwanza toka showroom?

    Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana, Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya. Wake wataalamu tunawasikiliza. Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
  7. S

    Mnaotaka kushusha heshima ya Daktari hamtaweza

    Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV, maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta. Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakishajifungua shukrani hamna. Mambo...
  8. comte

    Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

    Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu ====== Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri...
  9. BARD AI

    UPDATE: JAY-Z, DJ Khaled, Lil Wayne, Rick Ross kupanda kwenye steji za GRAMMYs Jumapili

    Baada ya kuwepo tetesi za mastaa hao kufanya onesho la pamoja, #RecordingAcademy ambao ni waandaji wa Tuzo za #Grammys wamethibitisha kuwa #JAYZ atakuwa kati ya wasani watakaotumbuiza Jumapili Feb. 5, 2023. Kwa mujibu wa #Variety, mastaa wengine wanaotajwa kuwa watatoa burudani kwenye usiku wa...
  10. MK254

    Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

    Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k. Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji...
  11. S

    Naibu Katibu Mtendaji NECTA aondolewe mara moja kwenye nafasi hiyo

    Jana matokeo ya CSEE na QT yalitangazwa. Lakini hayakuwa na ranking wala hata kuonesha halmashauri inakopatikana shule husika. 1. Kufanya ranking ni mhimu Kama recognition kwa shule na mwanafunzi binafsi. Hii pia ni motivation. 2. Mtihani wa NECTA ni standard, kwa maana kwamba hatua zote...
  12. Mohamed Said

    Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

    SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali. Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi. Nina...
  13. BARD AI

    Tems na Rihanna watajwa kwa mara kwanza kuwania Tuzo ya Oscar

    Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a #Tems kutoka Nigeria, ameweka historia ya kuwa msanii mwenye muda mfupi kwenye muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo maarufu ya #Oscar kupitia wimbo wa Lift Me Up alioshiriki kuuandika pamoja na #Rihanna. Licha ya Ukubwa wake kwenye tasnia ya Muziki, kwa...
  14. peno hasegawa

    Mara: Kijana apanda kwenye grid ya taifa

    Angalia hapa
  15. Brain Kingdom

    Nisiwe mnafiki wanawake wenye chuchu Mungu awazidishie zaidi

    Wasalaam Sina mengi nimetafakari sana kwenye rejea mimi ni Mr chuchuz ujumbe wapenda trakooz mimi siko huko, hakika wanawake wenye chuchu Mungu awabariki sana aongeze idadi yenu kuna haja tuendelee na tafakuri ya kuoa au kuenzi vyombo. Sina mengi mnanibariki sana I feel it uwepo wa mwanamke...
  16. S

    Nimeahirisha mara 3 ila bado haijapita kiasi, nasikilizia

    Tangu asubui naharisha nimeharisha mara 3 Ila nguvu bado ninazo nachukua muda kidogo kutoka one episode to another. Nangoja nione kama nitaharisha tena hali ikizidi nitakunywa Albendazole au Mebendazole maana hapa nilipo majani ya mpera hayapo.
  17. Roving Journalist

    Dar: Dibron Saidi ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mkewe Herieth Justine kwa kisu, ni baada ya kumfumania

    Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi kwa kosa la kumuua aliyekuwa mkewe, Herieth Justine kwa kumchoma na kisu mara tatu. Hukumu hiyo imesomwa leo na Hakimu mkazi mkuu, Evodia Kyaruzi aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo. Akisoma...
  18. mahindi hayaoti mjini

    Hii ni mara ya pili polisi wanashambuliwa mtaa wa Narung'ombe na Ndanda, Kariakoo

    Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika...
  19. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa Mara aagiza wazazi wa watoto 70 waliokeketwa wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee tarehe 10/1/2023 ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya kuwakamata wazazi/walezi wa watoto 70 waliokuwa wamekimbilia AFTGM Masanga kukwepa ukeketaji na baadaye kurejeshwa kwa wazazi wao baada ya kipindi cha ukeketaji...
  20. MSAGA SUMU

    Bashe: Kwa mara ya kwanza, tunafungua maghala ya chakula pasipokuwa na njaa

    Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda kupunguza mfumuko wa bei. Pia amedai ni nadra Sana kufungua maghala ila tu Kama itatokea njaa.
Back
Top Bottom