Kumbukumbu yenye machozi ya raha: Mara yangu ya kwanza kupata penzi la mwanamke wa Kiyao toka Tunduru

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Hakika duniani kuna mambo matamu yenye, raha na ladha, ilikuwa mwaka 2008 pisi moja Kali sana akiuza duka la nduguye baada ya kupita geti kuu la shule ya msingi tandika ukitokea stendi.

Hii pisi ilikuwa kali sana yenye macho matamu yenye asili ya aibu. Enzi hizo napiga kazi za ajira salalary take home laki 2.55, nikiwa na mishe pia za kuagiza perfume zakiume toka Zenji na mtaji wangu wa laki5 si haba alhamdullillah mola asiye na choyo mwingi wa rehema 🙏🙏🙏.

Hii pisi ilikuwa nzuri sana, alinipenda, alitaka ndoa, nilimuomba subra huku akiendelea kunipa penzi. Awali ya yote siku ya kwanza ya shoo, nilipewa shoo kali sana ilifikia hatua nilibwata na kubwata kwa sauti na mayowe yenye raha na utamu.

Wakati huo niliwaza naweza kumshika masikio na akatulia na mimi, ila mshahara laki 2.55 na mtaji mdogo wa laki5 haukutosha kumshawishi kwa matunzo.

Kipekee zawadi ya tunda apple na perfume dune dior ilitosha kumfanya aendelee kunipa penzi lenye mayowe ya raha na utamu.

Binti mrembo akiishi Zakiem Mbagala maeneo ya Kingubi. Aliumbika vizuri sana na alijua shoo kama kashushwa toka sayari iliyojaa kungwi mithili ya shamba la mizabibu.

Lahaula la kwata pasi na muda ndani ya miezi mitatu, watu wakanibutua nashangaa pisi baby ana mimba hakika Kumbukumbu ya penzi lenye mayowe yenye raha na utamu likanitoa chozi sikuweza kuwa na amani huku nikiwa na apple na perfume kwa ajili yake akanifata akanibusu akapiga goti akalia sana akasema nakupenda sana nisamehe mimi ni mwanamke zingatia hilo.

Katika Hali ya penzi ikawa ni Machozi ya pande mbili, nikapiga goti nikambusu kitovuni akanipatia denda kali lenye msisimko mkali.

Ahadi ya penzi ikatolewa nikaambiwa mpenzi Leo nakuja kulala kwako ubungo kibangu karibu na kwa Mzee mchomvu mitaa ya akina Eva na pacha wake enzi hizo maji Kama dhahabu kwa Mzee Tesha.

Hatimae ahadi ikatimia nilipewa shoo kali hadi nikaumwa nikashindwa kwenda job, nikapiga simu ya udhuru kazini boss akakubali, si haba baby wangu pisi kali jioni akarudi tena akanipa shoo ya kibabe kisha nikamsogeza hadi Riverside stendi huku nikipiga story na sharobaro dalali mzee Zambi, baba akanitania umepata jiko mwanangu nikashukuru.

Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho, hatimae ikawa ndio mwisho wa kumuona katika Maisha yangu, nikasikia tu alishaenda Qatar kaendq na mume wake kaolewa sherehe imefanyika Juzi hapo ilikuwa baada ya kuugulia maumivu ya shoo kwa siku3 vigimbi niliumwa hatari.

Si haba japo naumia ila alinijengea nguzo ya shoo shoo na kumudu maswahibu ya mapenzi.

Ilivyo sasa na uwezo wangu ni shukrani kwake mola mwingi wa upendo na rehema ametenda mema yote, kama Don mwenye umri wa Kati umri wa kibabe mzaliwa kipindi watanzania wanapitia uhujumu uchumi na madhira yake ya kuogea magome na majani, wazee walitupa pesa zikiwa kwenye magunia na viroba msituni na mtoni, watu walifilisika, Leo hii tuna hadhi kama hadhi za baba zetu waliopigana kupata pesa kwa bidii zao kisha kipindi kifupi cha maamuzi ya kichawi wakazama ndani ya umasikini.

Once a Don always a Don thank you Lord.

Naandoka na chozi langu na hisia kali zenye Kumbukumbu tamu toka penzi la kiyao, nilitoa mayoe yenye raha na utamu huku hizo yowe zikiwa zenye kubwaka na kubwata.

Karibu kwa visa na Kumbukumbu za dimbwi la mapenzi, Raha na Utamu.

Wadiz.
 
Yakakutoka machozi mzee baba! Kweli mwanaume akipenda anakosa akili.
 
Back
Top Bottom