Dkt. Cassian Nyandindi: Arusha na Mara zinaongoza kwa bangi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545

Dkt. Cassian Nyandindi, Kamishna Msaidizi wa Tiba na Huduma za Utengamao akiwa kwenye mahojiano East Afrika Radio amegusia mambo mengi kuhusu madawa ya kulevya.

Akifafanua kuhusu kukithiri kwa matumizi ya bangi katika baadhi ya mikoa nchini Tanzania amesema

"Kutokana na ukamataji na jinsi ambavyo mamlaka inafanya kazi tatizo la bangi lipo maeneo mengi nchini lakini Arusha kuna tatizo kubwa zaidi na Mara pia kuna tatizo kubwa" .

"Vijana wanaingia kwenye dawa za kulevya kutokana na kukosa elimu sahihi, na wengi huwa wanaenda kwa kujaribu kwa mfano vijana wadogo anaona mwenzake anatumia anajikuta na yeye anajaribu".

"Bangi ni dawa ya kulevya na kwa kawaida tunaongozwa na sheria ya nchi na sheria yetu ya Tanzania ambayo imepelekea kuundwa kwa mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya inatambua kuwa bangi ni dawa za kulevya kwa yoyote atakayejihusisha ni kosa".

"Bangi inachangia sana kwenye kuleta matatizo ya akili, kuna shirika la umoja wa mataifa ambalo linajihusisha na madawa ya kulevya na uhalifu, taarifa yao inaonesha kwamba bangi ndio dawa iliyochangia kuleta matatizo ya akili zaidi duniani kwa mwaka 2021".
 
Kutokana na ukamataji na jinsi ambavyo mamlaka inafanya kazi tatizo la bangi lipo maeneo mengi nchini lakini Arusha kuna tatizo kubwa zaidi na Mara pia kuna tatizo kubwa" - Dkt. Cassian Nyandindi, Kamishna Msaidizi wa Tiba na Huduma za Utengamao

Bangi ni dawa ya kulevya na kwa kawaida tunaongozwa na sheria ya nchi na sheria yetu ya Tanzania ambayo imepelekea kuundwa kwa mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya inatambua kuwa bangi ni dawa za kulevya kwa yoyote atakayejihusisha ni kosa"

Arusha mtuache, tofauti kabisa ya watu wa Arusha na Mara ni watu wa Arachuga hata wakivuta wana akili sana, ila watu wa Mara wakivuta wanakuwa majinga sana, yaani naturally ni wajinga, ila wakivuta ujinga wao unaongezeka na vitendo vya kikatili, uhalifu vinaongezeka.
 
Inawezekana sababu watu wa sehemu hizo huwa wakati mwingine wanafanya vitu ambavyo binadamu wa kawaida hawezi fanya.
 
Asitake kufananisha watu wa Arusha na wajinga mapopoma wa huko mara.

Tena atoke kuomba radhi
 
Arusha mtuache, tofauti kabisa ya watu wa Arusha na Mara ni watu wa Arachuga hata wakivuta wana akili sana, ila watu wa Mara wakivuta wanakuwa majinga sana, yaani naturally ni wajinga, ila wakivuta ujinga wao unaongezeka na vitendo vya kikatili, uhalifu vinaongezeka.
Acha bangi.

Mjinga ni wew mwenywe.
 
Huyu bwana haja tembea mitaa ya Dar es Salam.
Watu watu wote wa Chugga ni kidogo kuliko wa wilaya ya Kinondoni, sasa hapa Dar kila wilaya kila kata kuna vijiwe vya wavuta mjani tena vingi ni mbele ya Ofisi za serikali za mitaa.
Asilimia kubwa ya bodaboda na Makonda na machinga wanapuliza bila hofu.
Yawezekana Arusha wanalima sana mmea lakini wavutaji wengi wako Dar es Salam.
 
Temeke ni balaa😅😅😅mitaa kama yote anzia huku keko Mwanga
 
Arusha mtuache, tofauti kabisa ya watu wa Arusha na Mara ni watu wa Arachuga hata wakivuta wana akili sana, ila watu wa Mara wakivuta wanakuwa majinga sana, yaani naturally ni wajinga, ila wakivuta ujinga wao unaongezeka na vitendo vya kikatili, uhalifu vinaongezeka.
Kwa hio Arachunga wanavuta kwa ajili ya good performance Ila Mara wazee wa Vita ni Vita Mura wakivuta wao wanawaza wapi walihifadhi masime yao wakawageche watu utasikia wakisema 'aisee ntakugecha Mura',
 
Huyu bwana haja tembea mitaa ya Dar es Salam.
Watu watu wote wa Chugga ni kidogo kuliko wa wilaya ya Kinondoni, sasa hapa Dar kila wilaya kila kata kuna vijiwe vya wavuta mjani tena vingi ni mbele ya Ofisi za serikali za mitaa.
Asilimia kubwa ya bodaboda na Makonda na machinga wanapuliza bila hofu.
Yawezekana Arusha wanalima sana mmea lakini wavutaji wengi wako Dar es Salam.
Tofauti ya Dar na Arusha pamoja na Mara, Dar watu wanavuta for good reasonable choice plus good life performance hawavuti kuanzisha mavurugu ya kijinga jinga, wanavuta km one among of the best blessings kutoka kwa Jah marastafarian yaan ile ki Bob Marley Hailey Selassie peace & love sio wanavuta kisha wanazama ndichi kwenda kubeba mapanga na masime na kuanzisha ushenzi wa ajabu sijui kuwagecha watu ovyo ovyo sijui kukaba na kupora hio hapana,
 
Asitake kufananisha watu wa Arusha na wajinga mapopoma wa huko mara.

Tena atoke kuomba radhi
Hii inaonesha kwanamna gani bangi ya Arusha ni mbaya sana. Huko Mara ujinga wao huko wapi? Arusha ni mkoa na Mara ni mkoa...Sasa niambie ni Mara sehemu gani wanavuta bangi sana na Arusha sehemu gani wanavuta bangi sana.

Pia, kumbuka Mara wanalima bangi kwa wingi ila wanaitumia kidogo sana...sehemu kubwa ya bangi inayolimwa Mara inasafirishwa sana kwenda Kongo.
 
ngaranaro,unga limited,nk na mara sehemu zote wanavuta.
 
ngaranaro,unga limited,nk na mara sehemu zote wanavuta.
Na hizo sehemu zote Mara umefika? Inaonekana unakaa pamoja kwenye genge la wavutaji pale mtaa wa Sakina.
Tarime wanalima kwa wingi ila wanavuta kidogo sana pamoja na visiwani kidogo wanatumia. Bangi kwa kiasi kikubwa kinasafirishwa nje ya mkoa na nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom