mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz tunakutaka mara moja uache kujihusisha na jina la Simba wakati unashabikia Utopolo (Matembele)

    Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz. Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande...
  2. JamiiForums Tanzania Mbia anayejihami kwa nguvu kubwa, mara nyingi si Mbia salama

    BAADHI YA VIFUNGU VILIVYOPO KATIKA MKATABA HUU. 1. TANZANIA HAIRUHUSIWI KUJITOA KWENYE MKATABA Ibara ya 23(4) ya mkataba huo inakataza wahusika wa mkataba ambao ni serikali ya Tanzania na Kampuni mwekezaji DPW kujitoa(Denounce) katika mkataba, Kuvunja, Kuahirisha(suspend), au...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa upinzani bungeni waonekana kwa mara ya kwanza

    Hayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja atakayepinga maana atapoteza ugali!! Ni Imani yangu kuwa wapinzani wangekuwa bungeni tungeyajua mambo mengi...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbuka Kuwa Na Shukrani Mara Kwa Mara, Utaona Faida Kama Hizi

    Shukuru umeiona tena hii weekend. Shukuru safari zako za wiki zilikua salama. Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo. Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma tokea wapi (unasoma tokea wapi?), lakini unasoma ukiwa salama. Shukuru kwa mambo mengi mola...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Kumbuka kuwa na shukrani mara kwa mara, utaona faida kama hizi

    Shukuru umeiona tena hii weekend. Shukuru safari zako za wiki zilikua salama. Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo. Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma tokea wapi (unasoma tokea wapi?), lakini unasoma ukiwa salama. Shukuru kwa mambo mengi mola...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

    Hi, Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa. Mara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Donald Trump kufikishwa Mahakamani kwa mara ya pili

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za Serikali. Wakili wa Trump ameweka wazi kuwa Mwanasiasa huyo atafika Mahakamani hapo Juni 13, 2023 lakini kwa sasa wanasubiri Hati ya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kuanza, fidia zinalipwa

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza mara moja kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ulipaji wa fidia kwa Wanufaika 1142 waliopisha mradi huo. Rais Samia amesema hayo leo wakati akiongea na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye viwanda tulichemka, Bandari tuweze? Nionyesheni tulichowahi kubinafsisha tukapata faida!

    Watanzania tumerogwa siyo bule! Siku zote mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) mara zote ukaguzi wake katika sector ya Bandari amekuwa akisisitiza ufanisi uongezwe ili mapato yaongezeke ukilinganisha na Bandari zingine, lakini hakuwahi kusema kuna hasara iliyotokana na uendeshaji wa Bandari...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi Ahoji Utekelezaji wa Mradi wa REA III Mkoa wa Mara

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Juliana Didas Masaburi katika kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni Jijini Dodoma amehoji Wizara ya Nishati kuhusu utekelezaji wa Miradi ya REA III awamu ya Pili Katika Mkoa wa Mara Maswali yote yalijibiwa na Naibu Waziri Wizara ya Nishati Mhe. Wakili...
  11. JamiiForums Tanzania Mara 1000 Rais Samia angekutana hata na Wahadhiri kuliko Yanga

    Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa. Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza kutumika vibaya sana Kwa dalili hii. Huko ulaya kuna mitimu kibao inafanya vizuri ila sijasikia hata...
  12. JamiiForums Tanzania Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

    Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu. Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu hii nikiwa natokea Mkoa wa Mara naikataa na nakata Rufaa

    Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo..... 1. Arusha 2. Manyara 3. Iringa 4. Morogoro 5. Ruvuma 6. Mara Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange? Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno...
  14. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais na ziara za mara kwa mara nchini Burundi

    Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi. Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
  15. JamiiForums Tanzania Shonza: Kwa Mara ya Kwanza Tutampitisha Rais Mwanamke kwa Kishindo Mwaka 2025

    MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025" "Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha, kura za heshima. Hatutamchagua kwa sababu ni Mwanamke, hatutamchagua kwa sababu ni takwa la Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Safarini NAIROBI kibiashara kwa Mara ya kwanza 🤔

    Nipo njiani kulielekea jiji LA Nairobi nchini Kenya kibiashara ni kiri tu ndo mara ya kwanza kwenda nchi hii kibiashara Tofauti na mara mbili nilizokwenda kwa shughuli nyingine na tulikwenda jumuia Njia ni Sirari au Isibania MWENYE UZOEFU NA NJIA HII LAKINI PIA JIJI HILO
  17. JamiiForums Tanzania Nimekuja kwa Mara ya mwisho kutafuta mke

    Wakuu bado Nahitaji mke. Niliwahi kuleta Uzi humu 👇🏾👇🏾 https://www.jamiiforums.com/threads/nahitaji-mke-wa-kuoa.2087011/
  18. JamiiForums Tanzania Leo nasema kwa mara ya mwisho Shida Kuu ndani ya Simba SC na yasipotatuliwa Wahusika Watapigwa Ngumi

    Shida Kuu Simba Sports Club 1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae 2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba alirudia Form II mara 8 katika shule nne tofauti na zote akafeli

    Huyu mwamba alikuwa anafahamika sana kwa kupata mitihani ya form two iliyovuja na alikuwa anaipata ile yenyewe, alikuwa na moyo wa kuwapiga pindi wenzake na kuwakaririsha majibu, akiingia kwenye chumba cha mtihani anafeli kwa kishindo, yaani F zote, wenzake wanafaulu. Alikuwa ni mtoto wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ardhi katika vijiji vya Nyatwali na Utegi mkoani Mara

    Binafsi nichukue nafasi hii kuwashukuru Halima Mdee na Jafari Chege kwa kuwasemea Wananchi wa maeneo haya kuhusu manyanyaso ya Serikali dhidi yao. Nianza na Kata ya Nyatwali. Kata hii ina vijiji vitatu Tamau, Nyatwali na Serengeti. Vijiji vyote viko kisheria na vilianzishwa tangu mwaka 1972...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…