Donald Trump kufikishwa Mahakamani kwa mara ya pili

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za Serikali.

Wakili wa Trump ameweka wazi kuwa Mwanasiasa huyo atafika Mahakamani hapo Juni 13, 2023 lakini kwa sasa wanasubiri Hati ya Mashitaka.

Wakati huohuo, Idara ya Usalama inatarajia kukutana na wafanyakazi wa Trump ikiwemo walinzi wake, leo Juni 9, 2023 kwa ajili ya kupanga utaratibu wa msafara wa Trump kuelekea Mahakamani.

""""""""""""""""""'''""""""""

Trump will show up on Tuesday, his lawyer says
The former President's attorney, Mr Trusty, has confirmed that Donald Trump will appear in court in Miami next week.

Speaking to CNN, he said he was expecting a copy of the indictment ''sometime between now and Tuesday afternoon.

"If they want to continue to play games, they'll give it to us at 3:01pm, Tuesday. ''

""""""""""""

Secret Service will meet with President Trump's staff on Friday.

A law enforcement source has confirmed to CBS News, the BBC's domestic partner, that the US Secret Service will be meeting with former President Donald Trump's security and staff Friday.

The secret service agents assigned to the president will develop a plan for Donald Trump's travel and appearance for his arraignment in Miami.

Agents will be tasked with securing the federal courthouse and surrounding areas for the former president's safety.
 
Trump siku hizi kila akijaribu kulala hupata jinamizi likionyeshesha watu hawa wakimenyemelea wakiwa wameshika pingu ! Ubaya ni kuwa kati yao, watatu ni watu weusi.

1686375851483.png
 
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za Serikali.

Wakili wa Trump ameweka wazi kuwa Mwanasiasa huyo atafika Mahakamani hapo Juni 13, 2023 lakini kwa sasa wanasubiri Hati ya Mashitaka.

Wakati huohuo, Idara ya Usalama inatarajia kukutana na wafanyakazi wa Trump ikiwemo walinzi wake, leo Juni 9, 2023 kwa ajili ya kupanga utaratibu wa msafara wa Trump kuelekea Mahakamani.

""""""""""""""""""'''""""""""

Trump will show up on Tuesday, his lawyer says
The former President's attorney, Mr Trusty, has confirmed that Donald Trump will appear in court in Miami next week.

Speaking to CNN, he said he was expecting a copy of the indictment ''sometime between now and Tuesday afternoon.

"If they want to continue to play games, they'll give it to us at 3:01pm, Tuesday. ''

""""""""""""

Secret Service will meet with President Trump's staff on Friday.

A law enforcement source has confirmed to CBS News, the BBC's domestic partner, that the US Secret Service will be meeting with former President Donald Trump's security and staff Friday.

The secret service agents assigned to the president will develop a plan for Donald Trump's travel and appearance for his arraignment in Miami.

Agents will be tasked with securing the federal courthouse and surrounding areas for the former president's safety.
Kuna watu chenga sana
 
Ila Marekani
Tanzania mtu anajiita mzalendo huku akiwa na Kinga ya kutoshitakiwa raha sana

Waswahili bana! Marekani wakituambia tujenge utawala bora unaoheshimu haki za watu wote bila kujali nafasi zao katika jamii, tunang'aka tunataka mchina ambaye hatuambii cha kufanya na wala hatutaki marekani wanatufundisha ushoga. Wakituonyesha jinsi wao wanavyoendesha nchi yao bila kujali nafasi ya mtu, tunatamani tungekuwa na utaratibu kama wao.
 
Tukishamaliza kuwawekea kunga wana usalama, tunahamia kuwawekea kinga wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi serikalini, ma DAS, then wanachama wote wa CCM.
 
Sana.Tajiri anavyowaza siyo mimi nilijisumanta/kujishika shavu kuomba msaada.
Chukua kombe la mawazo ya tajiri utuache wengine washika mashavu tusubiri sheria ichukue mkondo wake. Halafu kama ulikuwa hujui, Trump hayumo kabisa kwenye list ya matajiri wa marekani. Anazidiwa kwa mbali sana na Oprah. Unaona majumba na mahoteli yameandikwa Trump lakini siyo yake na hata mahaoteli na viwanja vya gofu anavyomiliki vyote ni vya mkopo.

Alivyoanza maneno ya kijinga, jina lake likan'golewa kwenye biashara nyingi sana zilzokuwa zinabeba jina lake lakini siyo zake.

1686377246469.png
 
Chukua kombe la mawazo ya tajiri utuache wengine washika mashavu tusubiri sheria ichukue mkondo wake.
Mnamchukia tu huyo jamaa ila amezaliwa na moyo,nafsi,hali na ongea ya kitajiri.Alikuza uchumi wa USA hakuna mfano.Let the big guy live himself!A born-free stinking wealthy man!
 
Soma jibu langu kwa kirefu hapo juu. Tuliokuwa naye tangu akiwa na kipindi cha Apprentice hadi alipoanza kuonyesha sura yake halisi ya kuchukia waafrika baada ya Obama kuwa Rais tunamjua na tabia yake kuanzia hapo tunamjua kwa kina. Yeye siyo tajiri kama Bill Gates, lakini watu hawamsemi Bates kwa ubaya wowote, nadhani net worth yake ni kama B1 tu kwani ana madeni mengi sana; hata alipopigwa faini ya m5 ameomba apunguziwe. Tunamzungumza kwa sababau ya akili mbovu yake. Kwenye uchumi hakufanya lolote bali aliingia wakati policies za Obama zinaaza kufanya kazi, akavuna matunda tu, halafu wakati policies zake zinaaza kuharibu uchumi akachoropoka.Matokeo ya sera za uchumi huwa hazionekani kwa siku moja tu.
 
B.1 in terms of £ or dollars ni chache?Hayo ya kuchukia ujinga wa blacks/niggers ni sawa tu.Hata mimi sipendi ujingaujinga.
 
Back
Top Bottom