Rais Samia: Mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kuanza, fidia zinalipwa

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,116
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza mara moja kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ulipaji wa fidia kwa Wanufaika 1142 waliopisha mradi huo.

Rais Samia amesema hayo leo wakati akiongea na Wananchi wa Ludewa wakati wa uzinduzi wa zoezi hilo lililoongozwa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji.

"Nilipopita kufanya kampeni nikiwa Makamu wa Rais niliahidi tutakuja kulipa fidia na mradi uanze sasa leo ni furaha yangu kwamba timu ya Serikali ipo hapo (Ludewa) kwa ajili ya kulipa fidia, niwaahidi kwamba fidia zote zitalipwa na ahadi yetu baada ya kulipa fidia mradi sasa utaendelea, Mchuchuma na Liganga sasa unakwenda kuchangamka"

Kiasi cha shilingi Bilioni 15.4 kimeanza kulipwa kwa Wanufaika Wilayani humo ambapo Viongozi mbalimbali akiwemo RC wa Njombe Anthony Mtaka na Mbunge wa Ludewa Joseph Kamonga wamemshukuru Rais Samia pamoja na Serikali kwa niaba ya Wananchi kwa kutoa fedha hizo.
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza mara moja kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ulipaji wa fidia kwa Wanufaika 1142 waliopisha mradi huo.

Rais Samia amesema hayo leo wakati akiongea na Wananchi wa Ludewa wakati wa uzinduzi wa zoezi hilo lililoongozwa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji.

"Nilipopita kufanya kampeni nikiwa Makamu wa Rais niliahidi tutakuja kulipa fidia na mradi uanze sasa leo ni furaha yangu kwamba timu ya Serikali ipo hapo (Ludewa) kwa ajili ya kulipa fidia, niwaahidi kwamba fidia zote zitalipwa na ahadi yetu baada ya kulipa fidia mradi sasa utaendelea, Mchuchuma na Liganga sasa unakwenda kuchangamka"

Kiasi cha shilingi Bilioni 15.4 kimeanza kulipwa kwa Wanufaika Wilayani humo ambapo Viongozi mbalimbali akiwemo RC wa Njombe Anthony Mtaka na Mbunge wa Ludewa Joseph Kamonga wamemshukuru Rais Samia pamoja na Serikali kwa niaba ya Wananchi kwa kutoa fedha hizo.​
 
Watanzania walikuwa wanauliza kwa muda mrefu, kwa nini nchi yenye utajiri mkubwa wa chuma, inahitaji kujenga miundombinu kama reli na nyenzo mbalimbali kwa kutumia chuma, inaishia kuagiza tani na tani maelfu za chuma kutoka nje?

It doesn't make any sense!
 
Hii awamu inakazi sana kuja kuanzisha miradi yake yenyewe.. JPM alikuwa na spidi ya roketi.
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza mara moja kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ulipaji wa fidia kwa Wanufaika 1142 waliopisha mradi huo.

Rais Samia amesema hayo leo wakati akiongea na Wananchi wa Ludewa wakati wa uzinduzi wa zoezi hilo lililoongozwa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji.

"Nilipopita kufanya kampeni nikiwa Makamu wa Rais niliahidi tutakuja kulipa fidia na mradi uanze sasa leo ni furaha yangu kwamba timu ya Serikali ipo hapo (Ludewa) kwa ajili ya kulipa fidia, niwaahidi kwamba fidia zote zitalipwa na ahadi yetu baada ya kulipa fidia mradi sasa utaendelea, Mchuchuma na Liganga sasa unakwenda kuchangamka"

Kiasi cha shilingi Bilioni 15.4 kimeanza kulipwa kwa Wanufaika Wilayani humo ambapo Viongozi mbalimbali akiwemo RC wa Njombe Anthony Mtaka na Mbunge wa Ludewa Joseph Kamonga wamemshukuru Rais Samia pamoja na Serikali kwa niaba ya Wananchi kwa kutoa fedha hizo.​
Na huu mkataba na sikia mwekezaji yeye haji na mtaji wowote ule bali anakuja na breakfast tu hapa bongo halafu kila kitu serikali inafsnya
 
Back
Top Bottom