Habari wanajamii forum.
Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa moja kuwa unataka kumuoa?
Maana kuna vitu najiuliza, kwamba wakati mwingine inaweza kuwa njia...
Kwema Wakuu!
Simu yangu leo ilikuwa bize ungedhani ni Customer Care wa Voda, nimeiona, kihere here kimeniisha, hapa nimeblock all unknown Call ili simu yangu ipumzike Kwanza. Unaweza ona Masikhara lakini ndio ukweli wenyewe.
Kutokana na kile kilichotokea na kudaiwa kuwa video ya Msanii Oprah...
Habari!
Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini. Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose ustaarabu.
Wadada mkizaliwa katika familia za kimaskini tafadhali msitumie miili yenu kama chambo ya...
Binafsi nakumbuka mara ya kwanza kuona video ilikuwa ni Late 1980"s na ilikuwa ni Sinema. Walikuja uwanjani kijijini kwetu wakihamasisha maendeleo. Waliwasha Sinema na Waliweka wimbo wa "Remmy Ongala" sikumbuki Jina ila Binafsi sikuwa najua tofauti ya Sinema na Muziki. Nikawa nacheza nikiamini...
Anguko la Urusi liko pale, hali inaendelea kuwa ngumu ikizingatiwa mpaka sana imeshindwa kufunika kainchi kadogo hapo jirani yake na imeingia hasara kubwa sana ambayo jeshi lolote hapa Afrika likiingia hasara kama hiyo linafutika kabisa.
========================
Russia was set to fall into its...
Tumezoea kuona mara nyingi inapofikia wakati wa kupiga kura kupitisha bajeti ya Wizara ya Fedha., wabunge karibia woote (99.9%) wa CCM huipigia kura ya NDIYOOO kuiunga mkono hata kama hoja zao za msingi hazikujibiwa kwa usahii, ukiachilia mbali wale wa upinzani (sio kwa bunge la sasa) ambao...
Siku hiyo nilikuwa nimetoka kufanya kazi moja nzito sana,
hata hamu ya kutafuna mbunye haikuwepo.
Nimejitulizana napunga upepo nashangaa sms inaingia "uko wapi"
Ilikuwa sms ya shangazi mmoja matata sana, alikuwa mpemba yule mama.
Kabla ya hapo siku kadhaa nyuma nilitupia swaga kidogo ila...
Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati...
Ilikuwa 2017 nilipoingia Gerezani kwa mara ya kwanza kwa kosa la kutoa lugha ya kuudhi dhidi ya Rais wa Tanzania kipindi hicho John Pombe Magufuli.
Kweli wakuu Nilimtukana Rais wa JMT tena kwa lugha Kali hii ni baada ya Kupata hasira za hapa na pale.
Ilikuaje nikamtukana Rais maneno makali...
Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall, uko Mjini Iringa, Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika.
Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika...
Kwanza nianze kwa kukupa pole kaka na kiongozi wangu mh. Mbowe kwa kusota lupango(ukonga)
kwa zaidi ya siku 226.
Nakukabirisha mtaani kwa nderemo na vifijo tele mimi magufulist a.k.a sukuma gang mtoto yatima,
uje tule na kunywa pamoja katika kipindi hiki kilicho baki cha uhai wetu.
Zaidi sana...
Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk.
Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani...
Habari wakuu wenzangu
Unakuta mtu yupo bize na smart phone kuliko malezi au kumjali mtoto, unakuta mtoto katundikiwa mziwa mama hajali kama mtoto ananyonya kupitia pua au mdomo ye ni bize na kuperuzi tu,
Jambo lililonikera ni moja tu, nimekutana na mama mmoja ni mnenee tako iloo yani shape...
Hello guys!
Nimewahi kuwauliza makondakta na madereva wa daladala kwanini gari zao hazina Air conditioner ilhali ukicheki zina namba mpya za usajili wakanijibu kuwa wameng"oa ili kuokoa mafuta.
Leo nimepanda daladala nimeshtuka kuona ina AC.
Kweli nchi ngumu hii.
Kwa mujibu wa Takwimu rasmi kutoka Kenya Bureau of Statistics,Tanzania imeweka historian ya kurekodi mauzo mengi zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya.
Hii ni baada ya miezi 9 tuu toka mama SSH awe Rais wa JMT.Hongera Sana na kongole nyingi kwa SSH.
Nilikuwa nimeripoti chuoni mwaka 2011 kwa mara ya kwanza baada ya kuhihitimu form 6,
Nilifikia hostel mnakaa watu wawili kwenye chumba, nilimkuta dogo flani yeye kamaliza form 4, alikuwa ameshaanza form 5 lakini aliachana nayo ili asome chuo.
kwa haraka haraka tu nilijua kwamba huyu dogo...
Habari za wakati huu
Nimeona nilete mada muhimu kama hii mezani kwani kutongoza ni point muhimu sana iwe kwa mwanaume na hata kwa mwanamke japo ni nadra kusikia mwanamke katongoza na wanaume wengi tunawachukulia wanawake wanaotutongoza kama ni wameshindikana ila ukweli hauko hivo kwani mapenzi...
Hi guys,
Natumaini mmekuwa na J'pili njema na yenye baraka..!
Nakumbuka miaka ya nyuma ndiyo najifunza funza kupika maskiini, siku hiyo nikaambiwa nipike uji tena wa ulezi bhaana bhaana, nikatoa una madonge kama vichwa vya ndege, nilivyo 'phaller special' eti nikautia kwenye chupa na kujikausha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.