Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,308
35,852
BREAKING: Military coup in Congo at this moment.

The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital.

Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence.

DDGeopolitics
IMG_20230917_213108.jpg


UPDATES
Serikali imekanusha teteai zozote kuhusu majaribio ya mapinduzi nchini humo

Serikali ya Congo Brazzaville Government inayoongozwa na Rais Denis Sassou Nguesso kwenye andiko la X imekana kuhusu Mapinduzi yoyote dhidi ya Serikali hiyo

Vyombo kadhaa vya habari siku ya Jumapili vimeripoti kuhusu Mapinduzi jaribio la Mapinduzi kuendelea ndani ya nchi hiyo wakati Rais akiwa Ziarani nje ya nchi

Posti ya Waziri wa Mawasiliano na Vyombo vya Habari, Thierry Moungalla, imekanusha taarifa hizo kupitia ukurasa wa Mtandao wa X.

Rais wa nchi hiyo ni Afisa wa zamani wa Jeshi, ambaye amekuwa kwenye madaraka tangu 1997
 
Back
Top Bottom