Je, zile nchi za Afrika zilizofanya mapinduzi ya kijeshi, kuna mikataba imevunja je nazo zitashtakiwa. ICCSD court?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,124
Yes , tumeona mapinduzi hapa kama yooote yametokea so mimi naulizia je wanashtakiwa kwenyw ile mahakama ya mchongo iliyomtoa kijasho prof.mruma?

Au hiyo haiwahusu hizo nchi za kijeshi mfano Burkina Faso/ Mali/ Niger na France katika uchimbaji wa madini na uranium.

Au ni sisi tu bongo zuzu tunaoingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu daima? ndo zinatushikisha vinywereo?
 
Au. Nimekosea jukwaa , niende. International sio , zile mada za IGA ,, MIGA zikajadiliwe !!! Maana kuna mikataba kama yote imefutwa na tawala hizo za kijeshi maana zilikuwa na unyonyaji. ...na wizi wa. Kiutandawazi....



Here we are , Tanzania tuliingia mikataba ya kiuwendawazimu hata wa darasa la saba hawezi kubali ku sign mikataba ya ki chief mangungo ,,,, hahahha ahahaha aseee tuendeleee. Kulipa. Hizo hela aseeeeee
 
Back
Top Bottom