mapenzi

  1. mama D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri unavyozidi kwenda mapenzi yangu yanazidi kuwa makubwa kwao👨‍👩‍👧💑

    Ni wazazi💞💓 Kuna wakati naamka natamani tuu niwe nao, niwapikie wale, niwafanyie usafi, niwawekee gospal music, tuongee tufurahi, niwakate kucha, nimnyoe mshua nywele halafu nimtishie kumpaka supablaki anikimbie😃😃😃 Nimtegee bimkubwa asinzie nimpake wanja na lipstik nyekunduuuu, nimvishe wigi la...
  2. Kasomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

    AINA ZA WAPENZI HATARI KWENYE MAHUSIANO... 1: Mpenzi mtangazaji--> Kila mnacho fanya yeye anaenda kusema kwa marafiki/ndugu/mitandaoni. 2: Mpenzi mtazamaji: Hana afanyalo, hana future, yupo yupo tu kazi yake ye kutazama na kusimulia ya wenzie wala yake hayawazii. 3: Mpenzi msikilizaji...
  3. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anapobadilika na kupunguza hamasa za kimapenzi ni nini cha kufanya ili kumrudisha kama zamani?

    Kuna tabia ambazo tuseme ukianza kuziona kwa mtoto wa kike ambae ni mpenzi wako kama ilivyokuwa zamani unajua hapa kuna kitu hakipo katika penzi lenu kama zifuato. Hakutafuti usipomtafuta, unapoanzisha mawasiliano na yeye anaonekana hajisikii kuzungumza na wewe. Unapomueleza hisia zako wala...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekaa muda mrefu bila mahusiano ila sasa kuna mwanaume ananitaka na mimi sijavutiwa naye

    Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani. Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi...
  5. Maleven

    JamiiForums Tanzania Hisia za mapenzi zinaweza kumfanya mtu asiweze kufanya kazi?

    Mdogo wangu yuko katika kilele cha balehe, sasa hakwenda shule, jana niliambiwa anaumwa, leo najuzwa kua ni ashki zimemshika sana kiasi cha kuona kuumwa. Kwakua ni mambo ya kike, na siwezi ongea nae moja kwa moja wala yeye hawezi kuniambia mimi ila nawaza huu sio ugonjwa kweli au ni kawaida kwa...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda sana mpenzi wangu ila kanisaliti

    Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa. Sasa Kuna siku Niko kazini nikapigiwa simu na jamaa ananiuliza unamfahamu x...
  7. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

    Wewe:Oya! Yeye:Niambie! Wewe:Mzima? Yeye:Mimi mzima wewe je Wewe: Niko poa Yeye:Okay KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII: Jamaa:Mambo mrembo wewe Msichana:poa mzima wewe? Jamaa:Mimi Niko poa kabisa halafu kila nikipata nafasi ya kuchat na wewe...
  8. Zero IQ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya kuchakata pisi ya kiarabu leo

    Niko maeneo Yangu ya kujidai kusherehekea mara baada ya kutoka kupima na kuambiwa Sina Ngoma ni mzima wa Afya kabisa. Ili eneo flani hivi la Nyama za kuku choma hapa Dodoma. Nimeagiza kuku, na castle Light ya baridii kabisa kujipongeza. Kwa pembeni naona kuna mtoto wa kiarabu koko ananikodolea...
  9. Alexjohn1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ya kuachwa katika mapenzi hayana mfano

    [emoji24][emoji24][emoji24]Siku zote maumivu ya mapenzi, huwa ni zaidi ya maumivu ya kitu kingine chochote kile... Yaani haya ni zaidi ya maumivu... Ama kwa hakika... Kwani haya ni maumivu ambayo huja wakati ambao tayari umekwisha mpoteza mtu umpendae kwa dhati... Pengine... Zaidi hata ya neno...
  10. proxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini nimsahau mtu niliyekuwa navutiwa naye kimapenzi ila sikufanikiwa kuwa naye?

    Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19. Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea nae. Mawasiliano yake muda mwingine yamekua ya kusuasua anaweza kujibu meseji na wakati mwingine...
  11. Forrest Gump

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na wanaume: Tuelezeni matarajio matatu mnayotegemea kuyapata kwa wenza wenu

    Mwanaume au Mwanamke, sote huwa tumejenga Vigezo au Mambo ambayo tuna tarajia kutoka kwa wenzi wetu while tukiamini mambo hayo tukiyapata, kuyaona au kuya-experience kutoka kwa wenzi wetu basi ndio nguzo ya sisi kuwapenda zaidi, kuthaminiwa, maelewano na furaha. Ofcourse tuna mambo mengi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda kwa mganga kisa mwanamke?

    Kama inavyojieleza ushawahi kumpenda demu sio ligi yako. Ukaamua uende kwa babu.
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wanaume kulialia kisa mapenzi nini shida?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kulilialilia mapenzi, hivi ni dalili udhaifu baadhi yetu tulionao na kukosa uanaume ndani yetu? Guys sometimes tujikaze na kumuacha aende bila kukupesa macho kuliko kusubiri kuja kulialia humu, hata kama unampenda jikaze kiume muonyeshe msimamo na muache...
  14. Zaburi 23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

    Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari. In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza...
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

    Habari waungwana, Nawasimulia kwa ufupi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo. Nilipokuwa kidato cha pili nilikuwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi...
  16. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

    Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu. Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha anakuwa happy muda wote. Nikaenda kujitambulisha kwa wazazi wake ndugu na jamaa zake, nikaanza kuweka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapenzi Kinyume na Maumbile ni hatari, usijirahisishe

    Habari yako, Kwa wakazi wa Bongo, neno Shivaz sio geni masikioni mwenu! Manka Mushi mie, mtoto wa kichaga huko na Mrina ndiyo yalikuwa machimbo yangu ya kujidai. Kiufupi nimeumbika, shepu mashallah! Msambwanda asilia nimejaliwa sio wezere la kuvalia kigodoro yaan nina kila kigezo cha kuitwa...
  18. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naonekana sina shukrani hata sijui kosa langu

    Maisha haya yaache tu, mama yetu alifariki tukiwa wadogo tulizaliwa watatu, mimi na wadogo zangu wawili wa kike, baada mama kufariki baba alitulea mwenyew kiubishi japo kwa mzee pesa ya kula ilikua haisumbui. Nilipomaliza darasa la saba akaja kunichukua kaka yangu mtoto wa mjomba tumbo moja na...
  19. Quetzal

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kazi ya Shanga na Cheni za kiunoni

    Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU.. Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..
  20. 666 chata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa vya mapenzi visivyosahaulika

    Nikiwa nimemaliza kidato cha nne miaka ya 2000's kweusi nikawa nimechill tu home hakuna ishu hakuna mpango, mjini hakuna mashamba. Kwa hiyo nikawa busy na mapenzi na by that time nilikua nimemzimia kwa binti mmoja hivi anakaa mtaa wa tatu tokea home. Tulikuwa tunapendana sana yaani hata...
Back
Top Bottom