Upuuzi nakudanganyana
Hizo ni tabia za kimalaya malaya🐒🐒🐒😂Inakuwaje unaishi na mwanmke kwa miaka kadhaa inakuja kutokea sintofaham na mnafika kutengana kwa muda, anaolewa baada ya miaka kadhaa anakutafta anataka kurud kwako wakati ni mke wa mtu. Haya mapenz ya kwel au?
NimechekaHizo ni tabia za kimalaya malaya
inachekesha kweli, alifikirije kwanza, anamuona wa kwanza boya...mutu ya kukubali kubali kila kitu🤣🤣🤣 pengine hajapata kama alichokizoea
Pole aisee Mungu akufanyie wepesidingihimself umepoteleaga wapi? maisha huku kwangu sio aisee, dunia inaenda kwa kasi sana
hope all good lakini
dingihimself umepoteleaga wapi? maisha huku kwangu sio aisee, dunia inaenda kwa kasi sana
hope all good lakini
Heee itabidi nitume ya vocha aisee uweze wasiliana na wadau..tutaongeaPole aisee Mungu akufanyie wepesi
Ndugu yangu napambana na maaandalizi ya harusi, mwishoni mwa mwezi huu
Ndio watoto na vijana wetu wa siku hiz mawazo yao yanaongozwa na motivational quotes za mitandaoni.Upuuzi nakudanganyana
Asante ndugu yangu!!Heee itabidi nitume ya vocha aisee uweze wasiliana na wadau..tutaongea
Namba yangu unayo?Heee itabidi nitume ya vocha aisee uweze wasiliana na wadau..tutaongea
Labda hwenda ikawa kamiss michezo ya zamanAnarudi kuja kufanyaje na kuolewa ni safari ya maisha... Why anarudi nyuma tena?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa nayo..wewe tuliaNamba yangu unayo?