mapenzi

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Anapatikana wapi mwanaume mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, msikivu, na anaejua kusamehe!

  2. Meshacky Allyson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasiwasi kwenye mapenzi ni Muhimu mno

    Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya, binafsi nimeona hili ni jambo jema nije kushare na nyinyi ndugu zangu, iko hivi sometimes nimeona malalamiko humu mtu akilaumu kuwa mpenzi wake hamuami sijui kila mara kwa mara anamuuliza uko wapi, na vitu kama hivyo. Binafsi hili naliona ni jambo...
  3. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kufanya mapenzi hadharani inaruhusiwa Uholanzi, tena kweupe sio gizani?

    KUFANYA MAPENZI HADHARANI INA RUHUSIWA KATIKA JIJI LA AMSTERDAM katika nchi ya Uholanzi. [emoji117]Ndio unaruhusiwa kufanya mapenzi hadharani ukiwa katika jiji la Amsterdam Nchini Uholanzi ISIPOKUWA ni kwenye maeneo maalumu tu nazo ni maeneo ya bustani. Moja ya bustani maarufu nchini Uholanzi...
  4. Mr Chromium

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!! Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!! Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu Tulivoingia...
  5. lamaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemiss kuumizwa kwenye mapenzi...

    Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia: Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!! Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo hii!!.. Nauhakika nilikua fala!!!....J'' ~Ulinikaribisha dunia hii ya upendo .. ...imagine...usipojib...
  6. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida kufanya mapenzi bila kufika kileleni au ni tatizo?

    Waheshimiwa habarini za wakati, Naomba kujua huenda ni kawaida au siyo Hali ya kawaida. Mimi napoanza tendo la ndoa naanza kwa furaha ila nikikojoa Mara moja kimsingi huwa sijui kuunga huwa lazima nipumzike walau dakika 15 kama munavyojua penzi ni sitarehe pia ni afya. Sasa shida yangu...
  7. De Opera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya barua yalikuwa matamu sana.Anayepinga huyo hana ulegend!!

  8. EL ELYON

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hili je mapenzi ni pesa

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA mbinguni hakuna laana tena. Leo napumzka na visa vya muha nawaletea kisa huko cha dogo na mchepuko wake. Nina dogo langu mmoja ni Mzee WA PGO ( police ) dogo ana family mke na mtoto. SASA ana mchepuko wake huo unafanya biashara ya GENGE lenye mazaga kama yote...
  9. SamBug

    JamiiForums Tanzania Wanajukwaa tushee Stress za mapenzi na vioja vyake

    Habarin wanajukwaa Nina Imani nyote wazima afya 💯💯 Mapenzi wanasema yanaendesha dunia na pale mtu yanapomkuta ya kumkuta Hali inakuwa si Hali Je ni vioja gani vinavyoweza kusababishwa na stress za mapenzi Ukiachana na vifuatavyo; 1, Kunyoosha nguo bila kuwasha socket 2,Kuchomeka Kadi ya mpiga...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mapenzi sio poa aisee

    Mapenzi sijui mahusiano sio poa ... Mara yule anataka aolewe wakati uwezo wa kuishi na mtu sasa bado kama kijana ....mimi mwenyewe tu hapa pasi ndefu kawaida ....kila siku swali hilo hilo ooh nyumbani utakuja lini....? Huyu nae nitakupa siku tukioana ukija kwetu.... khaaaa Am tired sasa, em...
  11. Dit000

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli mazingira yana affect ubongo linapokuja suala la kufanya mapenzi?

    Wanasaikologia ni kweli wanandoa au wapenzi, wakifanya mapenzi sehemu za hadhi ya chini, kama vile msituni, shimoni, chini ya vibanda vya wazi, beach sehemu ya uwazi, vichochoroni, kwenye dari, n.k mwanamke au mwanaume ni ngumu sana kuyasahau hayo mazingira hadi uzeeni kulinganisha na...
  12. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Vijana Mapenzi Yanawatesa😂😂

  13. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya watu maarufu yanavyofurahisha na kuhuzunisha wengi

    Teknolojia ya matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi na umekuwa kama uwanja wa fujo kila mmoja anautumia apendavyo. Kwa baadhi ya wenye majina makubwa, wakiwamo wasanii kwao ni tofauti kidogo, kwani watake wasitake ‘watatrend’ mitandaoni iwe kwa ‘kujiposti’ au ‘kupostiwa’ na mashabiki...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume hii ni sawa?

    Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!. Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu. Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia...
  15. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana baunsa

    Mapenzi hayana baunsa Haya ni maisha tu! Naapa ila ipo siku tu.
  16. Nyani Mzee Snr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

  17. Halim1997

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alitengana na mumewe na kuolewa na mwingine, Sasa anataka kurudi kwa mume wa kwanza

    Inakuwaje unaishi na mwanmke kwa miaka kadhaa inakuja kutokea sintofaham na mnafika kutengana kwa muda, anaolewa baada ya miaka kadhaa anakutafta anataka kurud kwako wakati ni mke wa mtu. Haya mapenz ya kwel au?
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wenye funzo kwa wanawake *Majuto ni mjukuu*

    MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...
  19. 6321

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ambao hatujawahi kuumizwa kwenye Mapenzi njoo hapa

    Nawasalimu kwa jina la JMT Mimi ni miongoni mwa vijana ambao mapenzi hayajawahi kuniumiza, nimewahi kupenda sana sio kwa mtu mmoja lakini kuja kwenye swala la kuumiza kwenye mapenzi sijawahi. Ili usiumizwe kwenye mapenzi jitahidi kuyapa sec or third part ya maisha yako, tumia akili kupenda na...
  20. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is she still in love au nipo pending?

    Habari wanazengo Nipo na gal tumedate since high school lakn recently nmekuja kugundua anaongea na mchizi mwingne na mchizi yupo very close na dogo.. nmejaribu kumkanya lkn naona dogo yupo attached. Lakin kila ntakacho ananipa.. except to unajua mnshare romantic moments and presence na mshikaj...
Back
Top Bottom