mapenzi

  1. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na kutochukua tahadhari ya Corona katika mikutano yake

    Wameendelea kutovaa barakoa. Ni CHADEMA hawahawa walioishinikiza serikali ya awamu ya 5 itoe takwimu za kila siku za wagonjwa wa UVIKO-19. Ni CHADEMA hawahawa walioupinga msimamo wa jemedari Hayati Dkt. Magufuli juu ya kutowekwa lockdown nchi nzima/maeneo yenye msongamano. Kipi kilitarajiwa...
  2. Ethan Cruz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mapenzi ya dhati dunia ya sasa?

    MUNGU ni mwema! Jumatatu nyingine tunakutana . Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mapenzi ya dhati kwenye dunia ya sasa? Najua jibu la swali hilo kila mtu analo kutokana na mapito yake. Wengi wamejikuta kwenye maumivu makali ya mapenzi kutokana na jinsi watu wanavyoishi na kuyachukulia...
  3. El ohinu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi haya ni hatari sana

    Nilikutana na mdada mmoja wa kiha shuleni advance alikuwa na sauti nzuri sn niliipenda pia alikuwa na rangi matata black beauty umbo la kitusi. Nilimpenda japo tulipotezana maana alihama shule nmekuja onana nae nipo university ye akiwa udsm mi udom. Rasmi tukaanzsha mahusiano na lengo lilikuwa...
  4. Strictly Syrup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha mapya baada ya kuvunjika kwa mahusiano

    Maisha baada ya kuachana yanategemeana na mtazamo wako wewe. Kama ukiutumia muda huo kujijenga kama kujifunza lugha mpya, kwenda kutalii (kama una akiba) kuanzisha ratiba ya mazoezi, kujiendeleza kielimu na vingine vingi kama kuongeza bidii kwenye utafutaji wa pesa, utayafurahia sana maisha...
  5. Mirr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Wasalamu ndugu wana Jamii Forum, Namshukuru Mungu kwa kutupatia uzima wa kuendelea kupeana mafunzo kupitia majukwaa mbalimbali ya kijamii mtandaoni hakika hatuna budi kusema asante Mungu. Nianze kwa kusema mahusiano bila pesa yanawezekana kwa siku za mwanzo tu lakini ukata wa pesa ukizidi kwa...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona kawaida ila sasa hivi naona kama ni tatizo. Naomba ushauri wenu.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Harmonize anavyochezea vibuti, kweli Mapenzi si kuwa na mashine mkubwa

    Nilifikiri mtu akiwa Ana mashine kubwa basi wanawake watamkimbilia na hawawezi kumuacha Wala kumuv on, Sasa jomba nchumali kila sehemu anakula kibuti, Wolipa, Salah, Kajara, Lina, Sasa Haina faida kumbe mapenzi ni zaidi ya maumbile ya sehemu nyeti. Kama madada wangekuwa wanapenda mashine basi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Simu imekuwa kama Nyoka kwenye Mahusiano, Mapenzi na Urafiki. Sumu yake ni hatari sana

    Wana JF, salaam nyingi. SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA: “Naongea na simu”. Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini? Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
  9. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

    Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana. Funzo: 1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha...
  10. pascal luoga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kurudisha moyo kwa mpenzi wangu baada ya kurudiana

    Wakuu habari zenu.. Poleni sana na majukumu Napenda kuandika ujumbe huu nikiwa na akili zangu timamu..tupo kwenye kushare mawazo kama vijana.. IKO HV Nina mrembo mmoja ambayo nimesoma naye chuo since 2 years ago na tumemaliza mwaka jana wote pamoja... Huyu manzi alikuwa ni mgeni pale chuo...
  11. Ethan Cruz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kweli yapo?

    Kabla hatujajiuliza kama mapenzi ya kweli yapo inatupasa tujiulize na kufahamu neno "PENZI LA KWELI" ni nini? picha ambayo huwajia wengi vichwani mwao wanaposikia neno hili penzi la kweli huona kuwa ni watu wawili kupendana hata ikafikia hatua ya mmoja kugharamika roho yake kwa ajili ya faida ya...
  12. COMPTON BLVD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manzi na mbwembwe zote za text za mambo ya kitandani, siku ya game hakuna kitu

    Nilikuwa nataka aje ghetto ili anitunuku, wiki tatu zikakatika wakati huo wote alikuwa ananiambia vitu alivyonavyo mwilini kama shanga, akauliza pia kama ninapenda kiuno chenye shanga. Nikamwambia "Ndio ninapenda kiuno chenye chachandu." Kuna siku nilitaka game ila muda ulikuwa umeenda kiasi...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Texting Girls: 10 Mistakes Men Make, But Must Avoid

    Texting Girls: 10 Mistakes Men Make, But Must Avoid 1. Insisting on a date. It is perfectly okay to arrange a date with a girl you just met, but don’t push her to give in to a date until she’s perfectly ready for it. If you suggest a date and the time or date that is not appropriate for her...
  14. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je umewahi kupatwa na wivu uliokufanya ulie, usononeke au kuwa na stress kisa mapenzi, tiririka?

    Binafs nakumbuka kulikuwa na mtoto flani wa kipare alikuwa kanizikimikia sana yani, ilikuwa ni chuoni miaka kama 8 iliyopita. Basi mimi nnikavimba sana kichwa nikawa namletea mapozi flan ivi ili nioneka kidume ambacho ni ndoto ya wanawake, si mnajua tena vijana wadogo kwa kupenda sifa...
  15. Mr Chromium

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

    Tumeanza kudate miezi mitatu imepta!! Mwanzo ilikua kawaida tunatafutana kwa siku mara moja jion au mara mbili kwa siku Sasa bana kuanzia mwez 6 tabu ndipo ilipoanza Akipga simu hataki kumaliza maongezi Hata ukimwambia umechoka hakuelewi kila muda sim ,text ukipitaa lisaa utakuta miscall 7 msg...
  16. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

    Inaweza ikashangaza ila mimi ni Mwanaume, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete. I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie...
  17. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mapenzi ndo yanauma hivi!

    Wiki iliyoisha tu kuna msela wangu kaachwa akawa analalamika mpak kulia! Kiberenge wa watu ndo kwanza sielewi nikawa namcheka naona huyu nae anajitafutia visa tu! Yalayalayala!! Kumbe jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza na hata yule muhenga aliesema "usiombe yakakukuta" yaonyesha...
  18. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

    Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika namna ya kipekee maana tutaisha sasa na hivi tupo wachache!!. Wanawake tupunguzieni mizigo na mtulie...
  19. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha Mapenzi...

    Naamini Jumapili iko salama kwa kila member na Kama hali haipo hivyo,ni changamoto za maisha tu,amini mambo yatakuwa sawa. Kisa changu ni kama ifuatavyo hapa chini: Mwaka 2015 nilihamia mkoa mmoja huko nyanda za juu kusini nikiwa kijana ambaye sikuwa na mahusiano ya kudumu. Katika pitapita...
  20. Master Kutu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananinyima tunda, natafuta mpenzi mtu mzima kwa mahusiano ya kujengana kimapenzi na maisha

    Habari ya leo wana jukwaa wenzangu, Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo yaani nabaki na maumivu yangu. Na ukianagalia sijawahi kuwa na mpenzi wa nje kwahyo ni jambo...
Back
Top Bottom