Unafanyaje mapenzi yakikuzingua?

Candela

Member
Aug 12, 2021
77
150
Wana jamvi habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unapokuwa na mpenzi akakuzingua huwa unafanya nini kama mmefikia ile point ya kila mtu afe kivyake. Binafsi huwa napiga buyu tu mdogo mdogo namsahau ila imekuwa tofauti kwa huyu binti. Kila nikitaka kuachana naye nashindwa kabisa. Kiufupi demu hajatulia hata kidogo ana mambo mengi usipime, hivi mpaka naandika ni jana tu nimeenda kwake bila kumtaarifu nilikuwa napita nkaona nimpe hi sikumkuta. nkamtext yuko wapi nahitaj kumuona akanijibu anaumwa sana tumbo anakimbisa mwenge hawezi kutoka. Ckumwambia kama nilikuwa kwake maana hatukai mtaa mmoja(say Tabata na Sinza) nkaamua kusepa. Asubuhi kanipigia namuuliza jana alikuwa wapi kawa mkali kama pilipili miksa kuniambia namuona malaya namkosea adabu. Nkaona isiwe tabu nkamwambia tuachane. Ila sasa uhimilivu kuwa nae mbali sina. najua badae akinitafuta ntapotezea tu. Mnanishaurije wadau hebu tiririkeni mnadeal aje na ishu kama hizi.
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
63,759
2,000

Mapenzi yakinizingua, nakaa chini, nacheka weeee Hadi tumachozi tunanitoka, kisha nasema hivi kinacho nifanya niteseke na mapenzi ni uhaba wa mbunye mwilini mwangu, au ni uhaba wa pesa mfukoni au ni uhaba wa akili kichwani mwangu? Nikisha jiuliza hivyo, huyoooo nainuka, najifutafuta, naondoka, nasonga mbele. Kitakachofuata utasikia baby please accept my apology.
Nakaa kimya, kisha napokea ujumbe mwingine REAPOLOGY...... Nauch7na pia....... Kisha unaingia ujumbe mwingine, BABY NISAMEHE NAKUFA MWENZIO KWA AJILI YAKO...

Najibu mi nilishakufa jana
 
Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,577
2,000
Nalia kidogo kama dakika kumi hivi kusafisha macho,nakunywa maji glass mbili hivi,ingia bafuni kuoga get well dressed nakwenda kupiga vyombo sasa🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️

Woi...maisha yenyewe mafupi haya
 
mpesamoses

New Member
Nov 21, 2019
2
20
Mapenzi ni hisia hakuna atakaye kupa jibu lakukutosheleza lakin inabidi ujichunguze mwenyew na ujue itakuumiza kiasi gan kama mtaachana na ukipat jibu amua kimya kimya mamb madogo hayo usifuate ushauri wa madomo zege watakuambia mpige chini kumbe mambo yanasolvika hayo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom