mapenzi

  1. Sakata la Ngorongoro ni kweli wazungu wana mapenzi ya dhati na Tanzania?

    Nimewaza sana baada ya kuona bunge la umoja wa nchi za ulaya umepiga kura kwa wingi kabisa kulaani serikali ya Tanzania kuwaondoa kwa hiari wamaasai Ngorongoro . Hamaki yangu kubwa ilisimamia hapa 1. Je, ni kweli wanatupenda sana hawa wazungu kuliko ndugu zao wanaoteseka huko Ukraine ? Nchi...
  2. K

    Nimepigwa na mke wangu

    Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa Mke wangu ni Mchaga na kila mwaka lazima waende lakini mwaka huu nikasema hauwezi kwenda kwasababu mwaka jana kule Moshi...
  3. M

    Wivu wa mapenzi wazidi kuteketeza maisha ya Watanzania. Amuua mke wake kisa wivu

    Watu wawili akiwemo mke na mume wamekutwa wamefariki katika maeneo tofauti tofauti baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe na kumtupa eneo la Mafisa kwa Mambi na yeye kukutwa amejiua katika eneo la Bigwa Manispaa ya Morogoro. Akizungumzia tukio hilo lililotokea usiku wa kuamki leo, kamanda wa...
  4. Katika Mahusiano nani anaweza kurejesha Mapenzi yanapopungua?

    Hili swali nimeamua kuwaletea Wadau humu Jukwaani, baada ya kujiuliza kwa muda Mrefu sana bila majibu. Je kwenye Mahusiano ya Nowdays , ,ni nani hasa anaweza kurejesha Mapenzi mubashara pale yanapopungua, au kuchokana?
  5. Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

    Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika . Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini. Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
  6. Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  7. Mapenzi hayachagui umri

    Klipu ya Televisheni miaka 31 iliyopita , mvulana huyu ni Macron, Rais wa sasa wa Ufaransa 🇫🇷, na dancer na Mwalimu wake, ndiye mke wake wa sasa.Wamepishana miaka 24.
  8. Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

    Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material. Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari. Siku akinipikia wali nyama, wao...
  9. Mapenzi ni kitu cha ajabu sana

    Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa. Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana. Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya maisha, hupati hata ile ng'o. Lakini kipindi unatongoza hovyo wengi wanajirahisisha, wife material...
  10. Iringa: Mwendesha Bajaj achomwa kisu na mkewe kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao. Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
  11. Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

    Wakuu, kama bado hukuwa na taarifa ya kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maisha Magic Bongo ndani ya DSTV Barbara Kambogi na msaidizi wake bwana Onesmus Ndarite, tafadhali pitia hapa...
  12. Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

    Kama tunavyofahamu, Vanessa na mchumba wake Rotimi wamefanikiwa kupata watoto wawili, wa kiume Seven na wa kike Imani. Kwa kitambo, Vanessa na mwenzi wake hawakuwahi kuwaonesha watoto wao katika mitandao kama ambavyo mastaa wengine wakubwa nchini na ulimwenguni kote hufanya. Usiri ulikuwa...
  13. Akili tu hauna ila mapenzi ni kitu oa sana

    Elewa hivyo Ni akili tu hauna ila mapenzi wala hayaumizi, Yenyewe wala hayanaga tabu. Ni kitu flani hivi kama unakuwa na akili yako timamu wala hayawezi kukusumbua. Habari zenu wana jamvi, Kati ya vitu vinavyosumbua sana dunia kwa sasa ni mapenzi na pesa. Pesa ni kweli kitu...
  14. Manara ni limbukeni wa mapenzi kitakachomkuta kwa Zaiylissa asiseme hatukumwambia

    Naona Manara anataka kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, kama alipigwa tukio na rushayna mpaka akazimia basi hapa kwa Zai ategemee maumivu mara mbili yake. Zai anajulikana ni mwanamke mapepe sana na mjanja mjanja mno haswa kwa mtu mshamba sa mapenzi kama Manara anachokitafuta atakipata na...
  15. Kama stress za mapenzi zingekuwa zinaua ungekufa mwaka gani?

    Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani? Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
  16. Nyimbo za zamani za mapenzi

    https://youtu.be/lAXIQChY8ek?si=0xWTkU2Pigyeqezs Unakula nini ili nami nifurahi https://youtu.be/8-Sjs6RBp1c?si=4_5IpGl_vsk7Dh9P Nipigie https://youtu.be/kUf3HL9SZa0?si=hWIYUzA71H2dfkvq Kwa ajili yako https://youtu.be/8eyAeqkV2gg?si=qf6VNcnWsnBkLhqz Pipi je na wewe ulipenda zipi??
  17. Picha: Mapenzi bhana. Vina muda basi?

    Vina muda basi!!?
  18. Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

    Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu...
  19. M

    America ,Europe na Asia wapewe mauwa yao

    IPO wazi hawa jamaa WA Asia (china , south Korea na,japan) Europe na america wamebadilisha maisha ya hii planet earth kweny angle ya science, mathematics, sports n.k isingekua wao Bado tungekua tunaishi maporini. Kama mzungu na muasia angelala Leo ungekuta hakuna simu,hakuna Tv,hakuna...
  20. N

    Nataka niachane na Wanawake nisifanye mapenzi tena

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena. Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…