Hivi ni kwanini wanawake hamjiui kwasababu ya mapenzi?

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,977
15,318
Nimetoka kusoma kisa cha mwanamuziki mmoja wa Zambia ambae amejiua na kuacha ujumbe mrefu kwamba chanzo cha kifo chake ni tabia ya mkewe kuchepuka kulikopitiliza ambapo jamaa ameshamfuma zaidi ya mara 15 kitandani kwake akiwa na wanaume tofautitofauti including ndugu, jamaa na marafiki zake.

Nikawa najaribu kuvuta kumbukumbu kama nimewahi kusikia kesi ya mwanamke kujiua kwasababu ya mwanaume kumbukumbu zikagoma kabisa.

Ina maana nyie wanawake hua hamtupendi? Mbona nyie hamjiui kwaajili yetu? Kwanini kila siku ni wanaume tuu tunajiua kwa ajili yenu? Nini kimejificha nyuma ya hili?

!aodn aataK
 
mwanamke yuko tayari mwanaume wake aoe mwanamke mwngn wafike wawil hadi watano. jambo ambalo kwa mwanamke kuwa na mume zaid ya 1 haliwezekan...! kupitia hoja hii,tunajifunza kuwa asilimia kubwa ya wanawake hawana wivu, pia mfumo dume unachangia wanaume wng kujiua kwa ajr ya mapenz. why? wanawake ni kila kitu akiamua kufanya jambo wanaweza hata kuchepuka sawa tu na wamawake walio wng washaingia ktk mfumo wa mfumo dume hivy wamewaachia wanaume chochote watakachofanya. sasa mwanaume aliyeko ktk mfumo dume afanyiwe uhun na mke wake atajiona ni dhaif na ataona aibu kuripoti mahala badala yake anajiua....
 
Hakuna chengine zaidi ya upumbavu yaan mwanaume unaijua kisa mapenz duuuh

Hivi jiulize huko enzi za mitume ushawai sikia kisa chochote mwanaume kajiua kisa mapenz?

Kwanini ni Zama hizi?

Jibu ni kwamba

Zama hizi kuna wanaume wapumbavu sana
 
Nimetoka kusoma kisa cha mwanamuziki mmoja wa Zambia ambae amejiua na kuacha ujumbe mrefu kwamba chanzo cha kifo chake ni tabia ya mkewe kuchepuka kulikopitiliza ambapo jamaa ameshamfuma zaidi ya mara 15 kitandani kwake akiwa na wanaume tofautitofauti including ndugu, jamaa na marafiki zake.

Nikawa najaribu kuvuta kumbukumbu kama nimewahi kusikia kesi ya mwanamke kujiua kwasababu ya mwanaume kumbukumbu zikagoma kabisa.

Ina maana nyie wanawake hua hamtupendi? Mbona nyie hamjiui kwaajili yetu? Kwanini kila siku ni wanaume tuu tunajiua kwa ajili yenu? Nini kimejificha nyuma ya hili?

!aodn aataK
Uaan we jaamaa ulichokifanya ni pap pap. Reply ya kwanza imekuja na majibu sahihi
 
Nimetoka kusoma kisa cha mwanamuziki mmoja wa Zambia ambae amejiua na kuacha ujumbe mrefu kwamba chanzo cha kifo chake ni tabia ya mkewe kuchepuka kulikopitiliza ambapo jamaa ameshamfuma zaidi ya mara 15 kitandani kwake akiwa na wanaume tofautitofauti including ndugu, jamaa na marafiki zake.

Nikawa najaribu kuvuta kumbukumbu kama nimewahi kusikia kesi ya mwanamke kujiua kwasababu ya mwanaume kumbukumbu zikagoma kabisa.

Ina maana nyie wanawake hua hamtupendi? Mbona nyie hamjiui kwaajili yetu? Kwanini kila siku ni wanaume tuu tunajiua kwa ajili yenu? Nini kimejificha nyuma ya hili?

!aodn aataK
Fanya utafiti wengi wanaojiua ni wanaume wa kiafrika.

Mbiu ya wanawake: Marufuku kulialia kisa mapenzi.
 
Back
Top Bottom