Watu sita wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuchomwa moto usiku wa manane kata ya Mjawa wilaya ya Kibiti mkoani Pwani.
Kati ya watu hao sita wawili wakiwa ni mama na watoto wao walikuwa wamelala nyumba ilichomwa moto usiku wa manane na kuteketea.
Akizungumzia tukio hilo kwa...
Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa
1. Wanajua mapenzi na ni wasafi wa kiwango cha SGR. Unakula tunda la grade...
7 WAYS TO DISCOVER THE WILL OF GOD IN MARRIAGE
A lot of things have been said and written about the will of God in marriage. Many people, especially Christians, are concerned about marrying the will of God for their lives and not making a marital mistake. This man writing is not an exception...
Katika mchakato wa Maisha kuna mengi tunapitia, kuna kupanda na kushuka pia kuteleza na kuanguka. Kila kitu tunacho pitia ni Mungu ndiye amepanga kutupitisha huko hivyo hata kama ni magumu kiasi gani unayo ya pitia usimkufuru Mungu.
Kila mtu unaye kutana naye ama kuishi naye ni wa thamani kwako...
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Polisi wilayani Bududa mashariki mwa Uganda wanamsaka mwanafunzi wa miaka 10 kwa tuhuma za kumchoma kisu mwenzake ambaye alidai kupora mpenzi wake wa miaka 11. Mtuhumiwa huyo, ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Buwali.
Polisi walimtambulisha mwathirika huyo kama Sam Watsosi, 16. Watsosi alidaiwa...
CHUNGU LAKINI DAWA
Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali.
Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari.
Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra...
The secret behind this song is that it's Big.. Biiig!
Wimbo huu nilimsikilizisha my girl back in 2006. Hakuwa shabiki wa muziki kihivyyo, kama mnavyokumbuka miaka hiyo.
Niliandika hizo lyrics nikamtumia kwa karatasi. Nitaendelea kuwapa what happened.
Story hii ni ndefu ila nashukuru wimbo...
Hapo ulipo kuna mapenzi ya kweli au unachunwa?
Wanaume wengi tumekuwa katika mahusiano tukiamini tunapendwa kwa dhati, kumbe kwa upande mwingine tunapendwa kwa sababu tunatoa huduma fulani; inapokuja kutokea changamoto za kiuchumi hasa kuyumba kwa kipato, hapo ndipo mtu anapokuja kugundua...
Mapenzi halisi yapo, wachache wamegusa kuonja na kuona mapenzi halisi, lakini it’s fate kama ilivyo kwa mambo mengine kwenye maisha kama elimu, afya njema, ustawi katika uchumi, kukubalika katika jamii( kibali machoni pa watu) si kila mtu anabahatika kupata.
1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani
Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.
2. Anakulinganisha na mpenzi wa...
Daniel Foote alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Zambia
Marekani imemuita balozi wake wa Zambia nyumbani huku mzozo wa kidiplomasia ukiendelea kati ya nchi hizo mbili baada ya Balozi huyo kukosoa vikali hatua ya Zambia ya kuwafunga jela wapenzi wa jinsia moja, vyanzo vya ubalozini vimesema...
1. Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
2. Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
3. Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
4. Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.
5. Kusema wanawake wote sawa.
6. Kuendelea...
Ninaandika hii nikikumbuka tamthilia ya Kenya iliigizwa na Lupita Nyon’go kabla hajakwenda Hollywood.
Vijana walianza mapenzi shuleni. Baada ya kumaliza kidato cha nne waliamua kwenda Nairobi kutafuta maisha. Maisha yalikuwa magumu lakini kijana alianza kufanya vibarua mpaka walifanikiwa...
Ni kwanini mwanaume yoyote yule akiwa ameshamtongoza mwanamke na wameshakubaliana kwenda iwe ni ghetoni kwa mwanaume au Gesti kama siyo Loji basi lazima tu mwanaume ndiyo atakuwa anaongoza msafara (anatangulia mbele) muda wote.
Lakini, baadaye wakishamaliza 'Uzinifu' wao hilo jambo hubadilika...
Kutoka kwa Sheikh Ahmed Kandauma
Kila sifa njema anastahili Mola wa ulimwengu huu ambaye ni Allah Subhannahu Wataalah, na rehema na amani ziwe juu yake Mtume Muhammad (S.A.W).
Tunamshukuru Allah kwa kutuwezesha kukutana tena katika ukurasa huu ambapo tutajadili mambo mbalimbali yanayotusaidia...
Tatiana Pereira amehukumiwa jela miaka 25 na miezi nane kwa kumuua makusudi mwanae wa kiume aliyefahamika kwa jina la Lozano (17) kisa ni shoga ambapo hakupendezwa na sexuality ya mwanae huyo.
Awali, mwanamke huyo aliwakodi jamaa wawili kwa majina ya Victor da Silva na Miller da Silva Barissa...
Je, umewahi kufikiria kuwa Mama ndie kiumbe anaepitia upweke kwa kiasi kikubwa zaidi katika maisha zaidi ya Baba?
Ni ukweli usiopingika kuwa mama ndie namba mbili baada ya Mungu muumba wetu alieumba ulimwengu, kwani mama ndie binaadamu anaechukua nafasi kubwa zaidi katika kuja kwetu duniani...
Hii imetokea huko Dar kwa kijana au tuseme mvulana kumdunga kisu mpenzi wake na yeye kujidunga kisu na wote waka rest in peace huku wakiacha katoto
Wavulana mnakwama wapi hadi ujinga wa kuua na kujiua kisa mambo ya mapenzi?
Wakati watu wengi wanajua ya kwamba uhusiano wa kimapenzi kati ya wanafamilia au jamaa wa karibu ni marufuku, sheria zinatofautiana katika nchi mbalimbali, na inategemea aina ya shughuli za ngono na asili ya uhusiano wa kifamilia wa washiriki wanaohusika, na vile vile umri na jinsia ya wahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.