mapenzi

  1. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni nini? Mashangazi mlioko huku nisaidieini maana ya mapenzi, tafadhali!!

    Majuzi tulipokea utambulisho wa mtoto wa kaka, kaleta kijana huyo kila mtu alichokaaaaa Mtoto wa kaka nae ndio wale matajiri waliosomaga ulaya kuanzia sekondari mpaka chuo, ungetegemea alete mzungu, mmarekani mweusi au mwafrika well off but nooo katuletea mbongo, wa bongo, Baada ya kumaliza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa 2: Feminists wanachangia kwa kiasi kikubwa watu kukataa ndoa. Kwa bahati mbaya sana asili haitakaa ibadilike!

    JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala ambao umekuwa mkali sana hasa kwa vijana wa zama hizi. Kusoma sehemu ya kwanza ya mahojiano haya...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja. "Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na Mikasa yake

    Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi huwezi kujua atafanya nini. Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake akitegemea mwanamke atamsamehe na kumpuuzia kumbe mke wake alikuwa hajasamehe usaliti aliofangiwa na mume...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wachina japo kuwa na teknolojia kubwa na elimu ila mapenzi yao yapo kwa wazungu kwenye bidhaa zao zote

    China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mkasa gani wa ajabu umewahi kukutana nao kwenye mapenzi?

    Hii ilishawahi kukutokea? Na ulichukua hatuna gani? Wadada Kwa wakaka itaneni hapa.. . Ulishawahi kuwa kwenye mapenzi yenye Mikasa ya ajabu mara fumanizi na vitimbili vya Kila namna? Hatari! Kuna rafiki yangu alipitia magumu kwenye mahusiano yake usaliti, vipigo, masimango na vitu kibao. Siku...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hii ni kuchanganyikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

    Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii imempelekea kila siku jioni lazima alazimishe tuonane. Tangu wiki iliyopita hataki kuniachia nafasi, akitoka...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Alikuwa anaenda kuolewa akamtumia ujumbe Ex eti waagane, imefanya niwaze sana kuhusu suala la kuoa

    Juzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule mwanamke hakukataa licha ya kuwa na mahusiano yake ya mwanzo (alikubali kwa sababu mtu wake wa mwanzo...
  9. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Maisha matamu ila mapenzi yamekuwa machungu kama kitunguu swaumu

    Mungu awe nanyi, Dunia Ina mengi matamu tumeishi nyakati zote tunaona utamu wa Dunia ila kwa sasa mapenzi yamekuwa Machungu sana, bila pesa wanaume tumegeuka vibwengo watazamaji wa miili minono ya wanawake ikipita barabarani, ukijikaza kidogo tu swali la kitaifa linakuhusu. Una shingapi? Hii...
  10. Chaggabeibe

    JamiiForums Tanzania Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

    Wakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
  11. Yofav

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mlemavu wa hisia za mapenzi

    Kusema ule ukweli kabisa toka nimpe moyo dada mmoja akauvunja basi nahisi kabisa kuwa nimepata ulemavu wa kupenda tena. Ni miaka mitatu sasa nimekosa hisia za kupenda na wala sioni dalili za kurudi kwa hisia hizo, Nimebaki na hisia za kutamani pekee… I feel fine niki-hit and run, Na hit...
  12. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo hivi

    Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole. Hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi...
  13. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

    Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana. Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Siku hii ndio nilishuhudia, niliamini na kuthibitisha kwamba mapenzi hayana wala hayajali umri

    katika harakati zangu za kisiasa, kura za maoni kivyama huko Jimboni, mara hiyo tupo mjini na, ni wakati wa kulala huko guest house. Sasa miongoni mwa wakuu wa msafara alikuepo mtu mzima, lakini ni Mzee sana tena ni wale wa aina ile ambao akivaa koti hawezi kulivua hata kuwe na joto kiasi gani...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi. Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya...
  16. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kanye Ataka Mapenzi ya Utatu (Threesome) na Michelle Obama

    Rapa Kanye West amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Michelle Obama. Kanye West has revealed his desire to have a threesome with a beloved First Lady: Michelle Obama. In an interview with Justin Laboy on The Download...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kweli mapenzi yananenepesha

    Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi. Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu. Sasa mida hii ndio tunapiga...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanawake wamepindua meza ya mapenzi, kwa sasa wao ndio wanatawala mapenzi

    Shalom, Karibu kwenye anga za mapenzi Kucheza ni kuchezeshwa, kuchezewa, kuchezeshana. Patamu ni kuchezewa na meza kunduka wanawake wako juu kwa sasa. Zama hizi raha imepamba moto upande wa wanawake kwa sasa wanaume wamegeuzwa midori wanavurugwa na wanawake kwa kadri ipasavyo. Kwa wastani...
  19. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Foleni ya mapenzi haiendi, haisogei, shida iko wapi?

    Hii ni kwa wale ambao 1. Wako single Ivi jaman mlio singo mnaona kama mnaelekea kuingia kwenye mahusiano kweli?? Mnaonaje foleni ya kukaa kuwa singo inaenda au haiendi? 2. Mlio kwenye mahusiano Mnaona kama mahusiano yanasomeka kweli au mauza uza? Unaona unaolewa soon au hamna kitu? Ushafumania...
  20. cacutee

    JamiiForums Tanzania Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi). Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka. Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie...
Back
Top Bottom