mapenzi

  1. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi shikamoo!.

    Samaleko... Ilibaki kidogo tu nidondoshe chozi lakini lilipotaka kudondoka nikakumbuka ule wimbo "wanaume tumeumbwa mateso!" halafu kabla haujaisha huo wimbo vizuri nikakumbuka pia wimbo wa Diamond kizaizai!, Hichi sio kizaizai tasa bali ni kizaizai kilichozaa!. Japo nimeshakuwa sugu wa visa...
  2. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nikisema nihadithie mikasa iliyonipata kwenye mapenzi members wote wa jf mtabubujikwa na machozi

    Yan haya maisha usijihaminishe lolote hasa Kwa kiumbe wa jinsia yakike uwe unahela utapigwa matukio, uwe katili utapigwa matukio, uwe sijui handsome boy utapigwa matukio, uwe na viuno kama fally ipupa utapigwa matukio, uwe unanukia kama majini utapigwa matukio. Kwa afya ya akili na mwili...
  3. Jackpiano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi kamali. Leo nimepigwa tukio sijuhi nimueleweje

    Nilimsajilia line kwa jina langu, sasa nimegundua ananificha mwanaume mwingine... je, msamaha wake ni wa kweli? Mwili wa Uzi: Naomba msaada wa mawazo ya kweli kutoka kwa watu waliotulia na waliowahi kupitia maisha haya. Niko kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye nimekuwa naye kwa muda sasa...
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Rise of Princesses: The Last Princess Of Peru

    SURA YA KWANZA: DAMU YA UFALME Mimi ni Triza, binti wa saba wa Mfalme Himza wa Peru. Katika kasri letu kubwa lenye kuta nene za dhahabu na mawe mazito, mimi na dada zangu tumeishi maisha ya hofu chini ya kivuli cha baba yetu. Dada zangu ni Adira, Sayina, Miran, Elvya, Kiyara, na Zafrina. Mama...
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yapi umejifunza ukubwani kuhusu mapenzi na mahusiano?

    Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha. Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine. Kupendwa ni bora kuliko kupenda, ikitokea scale imeelemea kwako utafurahia na roho yako. Kutengeneza mahusiano mazuri na ndugu wa...
  6. SankaraBoukaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  7. SankaraBoukaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

    Baada ya zaidi ya miaka kama 14 nikitoa huduma inayohusiana sana na wanawake — kuwahudumia katika mazingira mbalimbali ya kijamii na kiafya — nimekuja kugundua jambo moja ambalo haliniingii vizuri akilini, lakini kila siku ushahidi wake unazidi kujionyesha: WANAWAKE WENGI HAWAPENDI MAHUSIANO...
  8. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania Nyoka wako katika mapenzi

    Kuna dhana nyingi sana kwamba si rahisi kuwakuta paka wakiwa katika mapenzi. Ipo dhana kwamba ukikuta paka wanafanya mapenzi eti hiyo ni nuksi. Kuna kipindi nilikutana na kisa ambacho sijawahi kumsikia mtu akikizungumzia. Kuna siku nilienda shambani sasa katika kichaka nikaona nyoka wawili...
  9. Neem Min

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi Yaliyojaa Maneno ya Watu: Nifanyeje?

    Hey there! I’m a 24-year-old woman, and I need some advice before I lose my mind or worse:D:D, my patience with people who think they know everything! So, picture this: I was living with my sister, but she basically kicked me out because I was dating a guy who had just ended things with his baby...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  11. Bepari la Kinyambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania House girl wangu anataka tufanye mapenzi

    Wakuu nishaurini, Msichana wangu wa kaz housegirl anataka nisex nae anasema Ana nyege sana karibu mwaka mmoja Part 2 itafata hii itakua na muendelezo Part 3 Muendelezo Nimechukua ushauri wenu wengi mlitaka nipite nae, basi napenda kuwaambia leo hii nimepita nae kwakwel ni mtamu sana na amenipa...
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

    Haya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu.. Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama...
  13. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE NA KAMA N MAPENZI YAKO..BASI LITIMIE..MASHABIKI WA SIMBA NJOO MBELE....NABII SUGUYE

    BABA AMENIFURAHISHA SANA HAHAHAAAAA BAADA YA KUMALIXA MAOMBI AKASEMA JAMANI SI MNAJUA HATA YESU ALISEMA KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE KAMA N MAPENZI YAKO BASI YATIMIE HAHAHAAAA WALIOVAA JEZI ZA SIMBA NJOON MBELEEE HARAKA TUWAOMBEEEEEE WAKAENDA WAWILIIIIIIIIII HAHAAAHAHAHAAAA YAAAN...
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

    Ngoja niwape kisa cha ujana, nilivyoenda kupashana joto kwa kijana fulani nikaaibika, ila yule kidume akapotezea na kunipamba na sifa kedekede ili tu aichakate mbususu. Nimekikumbuka hiki kisa kwa sababu naandaa ule msosi ulioniaibisha back in 2006. Basi bwana, nilikua na huyo kijana...
  15. VERIFY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako kama yupo chuo sio wako tena ndugu

    She takes you for granted
  16. Redpanther

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni Utapeli wa Mapenzi au Ndio Upendo wenyewe ?

    Habari gani Wakuu Ngoja niende kwenye maada yangu. Kuna mdada mmoja hivi wa Graduate wa CBE -Dodoma nilikutana naye rainbow Dodoma so nikawa nimechukua contacts tukawa tunawasiliana. Baada ya kuwa nimemzoea nikamwelezea vile najisikia juu yake, dada akatolea Nje. Nikakubali tukawa tunawasiliana...
  17. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna viuchokozi vinaongeza hamu, msisahau kuwachokoza wawape mavituz kwa raha na furaha

    Hii ni mada ya chakula cha usiku kwa wakubwa, kama hupendi mambo hayo usifungue huu uzi. Leo huyu baba watoto wangu kanikuta nimekaa kigodani naandaa chakula kafika akanisalimia huku...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekanaje kijana kumridhisha mwanamke bila kujali mwili na umri mkubwa alionao katika mapenzi

    Wakuu kwema? Wakuu hivi ni kitu gani kinafanya mwanamke mkubwa kwa umbo na umri kuridhishwa na moto mdogo ambaye kimwonekano huwezi kudhani kama anaweza kuwa na mwanamke wa aina hiyo?
  19. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  20. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

    Nawaibia siri, siku nyingine muende kuwapa tendo huko makazini kwao wagugumie kama mabeberu kwenye viti vyao na kila wakiingia mzigoni wanakumbuka mbususu waliyosusiwa wanapata hamu ya kurudi nyumbani mapema kuila tena. Jana mtu mzima mwenzangu alikua katoka safarini, kaingia mjini asubuhi na...
Back
Top Bottom