Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc
TUAMKE...
Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa.
Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa.
Hivi, mkichepuka au mkabadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi?
Ladha tofauti za kipochi...
Hizi hatua sijui kama wengi wanazipitia, na pia wapo wanaokwama kwenye hatua moja muda mrefu.
i. Just look at a girl.
Unampenda manzi fulani lakini husemi, wewe nikumzoom tu.
ii. Hug a girl.
Nahitaji kukumbatia msichana, hapa kuna wengine walianza wakiwa darasa la sita na saba,
watoto wazuri...
Rombo. Mwalimu wa Shule ya Msingi Sinya, iliyopo Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Samwel Mlay (39), anadaiwa kujiua kwa kujiteketeza kwa moto katika nyumba yake aliyokuwa akiishi na familia yake.
Mlay alikuwa akiishi katika Kijiji cha Ngoyoni kilichopo katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro...
Mwaka 2023 kuna jamaa angu aliajiriwa alikua analipwa 600k kwa mwezi, ili mishahara yake haijawahi kukutana, kila mwezi alikua anaanza na zero. Na hapo alikuwa hana mke wala mtoto. Tuongee ukweli! Huo mshahara wako unaopokea kila mwisho wa mwezi unatosha kwa matumizi ya mwezi mzima? 🤔
Sasa sikia kaka, kama ulikuwa na redio ya betri au home kulikuwa na deck, halafu muziki unaopigwa ni wa Oliver N'Goma, Monique Séka au Mbilia Bel – basi bila hata kujua ulikuwa unasikiliza kazi ya Manu Lima, yule jamaa mkali aliye-produce midundo ya kukata mauno, kutema mistari ya kihisia, na...
Salaaamu Wanabodi....!
Ngoja tutete kidogo, imma kwa Rais wetu ajaye ama vyovyote iwavyo
Tangu nimezaliwa hadi leo, nimebahatika kumuona tu kwa kipindi kifupi sana Baba wa taifa hili Mwl Julius Kamabarage Nyerere na siyo kuishi kwenye utawala wake
Ila nasikia huyu baba alikuwa na misimamo...
Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.
Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea.
Ni nadra kukuta kesi ya...
Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui.
Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi.
Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana
2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake".
Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute
3.Ukimproach Mwanamke akikutaa...
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya...
Mwalimu Enock Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilayani Muheza mkoani Tanga, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia shuka nyumbani kwake, wakati Kesi yake dhidi ya anayedaiwa kuwa Mpenzi wake ikiwa Mahakamani.
Leo Jumatano Julai 16, 2025, Mratibu Elimu Kata ya Pongwe, Rajabu Msuya amesema alifika...
Kitu ambacho siwezi kufanya ni kumlilia mtoto wa mama mkwe maana naona ni upungufu wa akili namliliaje mtu mzima afu tumekutana ukubwani tu.
Tukizinguana aende tu ni bora nimpende alionizaa, kwanza mwanaume kulilia ni dhambi kubwa sana wanawake wengi sana.
Mwanaume unapiga simu kwa mwanamke...
Habari....
Utangulizi
Mo Dewji ni mmoja wa wafanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika. Alipoamua kuwekeza kwenye Simba SC, wengi walijiuliza kama uamuzi wake ulikuwa kwa sababu ya mapenzi ya timu au ni sehemu ya biashara yake. Ukweli ni kwamba, uhusiano wake na Simba unachanganya mapenzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.