mapenzi

  1. Dr leader

    Kiwanda cha mapenzi

    KIWANDA CHA MAPENZI 1 Mko wapi mko wapi,mutafutao ajira Fungeni yenu misipi, kazi ikawe imara Na manyakanga mkupi, mje kupata amara Ni kiwanda cha mapenzi, kimezitoa ajira 2 Kipo huko chumvini, mkoa Tanga mjini, Mwachimba chini kwa chini, mkitafuta madini Kazi hii ya thamani, na ghali...
  2. Fbn

    “Everyday” ya Phil Collins: Simulizi ya Maumivu na Kumbukumbu za Mapenzi

    “Everyday” wa Phil Collins Wimbo “Everyday” wa Phil Collins ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia nzito zinazozungumzia maumivu ya moyo baada ya mahusiano kuvunjika. Wimbo huu ulitoka mwaka 1993 katika albamu yake Both Sides, ambayo ilijulikana kwa mtazamo wake wa kibinafsi na wa kina wa hisia...
  3. EDIGAR JO

    Kaniambia baada ya mfungo hatokuja kabisa nyumbani, ndio ananiacha hivi hivi?

    Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?🙄 Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo, siyo? Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tu🙌. Sasa haka katoto...
  4. Pedrz

    Mapenzi yameisha au nimekosea nini?

    Wana ndugu Habari za muda huu, naombeni ushauri wenu wakati kama huu naona mtanisaidia kwa mawazo pia Na Mpenzi wangu tulipendana sana na penzi letu sasa hivi lina kama miaka 4 Na kama hakuna shida yeyote iliyotupata tukashindwa kuitatua na mapenzi kuendelea lakini hii ya sahv naona imekuwa...
  5. Tlaatlaah

    Ulifanyaje baada ya kukutana na show mbovu?

    Ulichukua hatua gani? Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi? Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi? nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu? :NoGodNo...
  6. ELI COHEN

    Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  7. Magical power

    Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?

    Mwanadada akionyesha ,Ulimi wake Ulivyo kuwa Mrefu Sana tofauti na Wana damu wengine Wanaume Wengi Wana Penda nyash Ila kuna ulimi pia Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?
  8. SweetyCandy

    Ungewezaaaa mie ningeweza

    Dear Readers especially hawa wanaume, Hamjamboo,kuna kisa kimoja kimeniumiza sana. Hiki kisa nikiko hivi. Waliingia majambazi wakataka kumuua jamaa . Ila mke wake alijitoa kwa majambazi . Na majambazi wakakubaliana mmoja wao. Alale na mwanamke wa jamaa. So mchizi akaambiwa na majambazi hao...
  9. Holoholo-Baba Kijacho

    Niifate Simu yangu ama Niipotezee? Maana binti kaolewa na mwanaume mwingine

    Wakuu, Kuna binti kijiji jirani toka nilipo mimi,nilimpenda sana nae akanipenda sana, Ilifikia hatua nikamnunulia simu, tukawa tunawasiliana, mapenzi yakakolea wakuu,binti kila anaekuja kuchumbia anamkataa,mpaka wazazi wake wakakaa nae kitako, wakamuuliza kama unakataa kuolewa je unataka uolewe...
  10. N

    Mapenzi na kisasi

    MAPENZI NA KISASI Riwaya ya Kiswahili Mandhari: Dar es Salaam na Kigoma Wahusika Wakuu: Juma: Kijana maskini lakini mwenye ndoto kubwa, anayetumia roho yake safi na juhudi kumpata mpenzi wake. Hadija: Msichana mpole, mwenye ndoto za maisha bora, lakini anayebanwa na mapokeo ya kifamilia...
  11. Dalali wa Mjini

    Mimi na mke wangu tupo bega Kwa bega mbali na maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu

    Habari wakuu. Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia. Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu. Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa...
  12. Binti wa zamani

    Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

    Eti ni udhaifu 🤷🏾 Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa? Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako? Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
  13. Mshana Jr

    Mapenzi

    Sasa ni wazi kuwa Kizza Besigye alichumbiana na Janet Museveni mke wa Yoweri Museveni (Rais wa Uganda) kabla ya Museveni kumuoa. Baadaye, Besigye kama daktari wa binafsi wa Yoweri Museveni alilipa kisasi kwa kumpokonya mpenziwe mrembo Museveni WINNIE BYANYIMA kutoka kwake, akamuoa na kumfanya...
  14. Binti wa zamani

    Nani mwingine anachukia Movie za mapenzi / romantic films na love stories kama mimi?

    Nimerudi nyumbani nimekuta wanaangalia love story ya kikorea, hivi mnawezaje jamani? Unakuta kwenye kipande cha movie, wapenzi wamesimama kwenye mlango uliofungwa, mmoja yuko kwa ndani, mwingine yuko nje wameweka mikono inagusa mlango at the same spot, wanajiliza kijinga jinga tu. Mara...
  15. Lighton

    Ushauri: Nayateketeza mahusiano na mpenzi wangu kwasababu ya kutingwa na majukumu

    Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️ Mimi ni kawaida sana kulala mida hii ya saa nane usiku, maana nina nusu saa hivi ndio nimetoka majukumuni na nina kama dakika 5 hivi nimetoka kula. Haya ndio maisha yangu ya kila siku. Nimeshika simu sasa hivi, baada ya kukagua nyaraka zangu, nikajikuta...
  16. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini siku hizi ni nadra sana kunyimana mapenzi isipokuwa ndani ya ndoa tu ndio unaweza kunyimwa live unajiona?

    Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti...
  17. Jumanne Mwita

    Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi

    Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kila mmoja wetu hukutana na changamoto tofauti, lakini hakuna sababu yoyote inayostahili kuchukuliwa kama mwisho wa kila kitu. Kupoteza pesa, kazi, biashara, au hata mpenzi ni mambo yanayoumiza...
  18. Dogoli kinyamkela

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  19. Strong and Fearless

    Mapenzi ya valentine: mpenzi wangu amenifanya nijihisi malkia!

    Jamani, my man has truly outdone himself this Valentine’s! Yaani sijawahi kufanyiwa hivi before, I feel so loved and spoiled. 😍 Morning surprise? He brought me breakfast in bed—hot tea, pancakes, and fresh fruits. Yani alijitahidi kabisa kuhakikisha I start my day feeling special. ❤️ Later...
  20. R

    Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
Back
Top Bottom