mapenzi

  1. haszu

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuonesha mapenzi, unapiga picha unampa mtu anaweka kwenye album, akiiangalia anafurahi. Sasa hivi mnapeana nini?

    Ilikua ukipewa picha na mtu ni zawadi kubwa sana na ushahidi kua huyo mtu ni wako, je sasa hivi mnapeana nini ?
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rombo: Kisa mgogoro wa mapenzi Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto

    Rombo. Mwalimu wa Shule ya Msingi Sinya, iliyopo Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Samwel Mlay (39), anadaiwa kujiua kwa kujiteketeza kwa moto katika nyumba yake aliyokuwa akiishi na familia yake. Mlay alikuwa akiishi katika Kijiji cha Ngoyoni kilichopo katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro...
  3. Black nyeti

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi na namna ilivyokuwa mpaka kufikia huko

    Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale Wabobezi wa hizi Styles Kuu Saba za Kungonoka (Mapenzi) Kitandani tunaomba Maelezo yake kwa Kina kwani nasikia Wanawake wanazipenda sana

    1. Popo kanyea Mbingu 2. Mguu Pwani Mguu Bara 3. Nisusie 4. Anguka Juu Chuma Natembeza 5. Zanzibar Kunaingilika 6. Msumeno 7. Kufa Kunoga Naomba Kuwasilisha.
  5. Silivian

    JamiiForums Tanzania Mshahara wako unaopokea kila mwisho wa mwezi unatosha kwa matumizi ya mwezi mzima?

    ‎Mwaka 2023 kuna jamaa angu aliajiriwa alikua analipwa 600k kwa mwezi, ili mishahara yake haijawahi kukutana, kila mwezi alikua anaanza na zero. Na hapo alikuwa hana mke wala mtoto. Tuongee ukweli! Huo mshahara wako unaopokea kila mwisho wa mwezi unatosha kwa matumizi ya mwezi mzima? 🤔 ‎ ‎ ‎ ‎
  6. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Producer Aliyeweka Mapenzi Kwenye Beat – Story ya Manu Lima!"

    Sasa sikia kaka, kama ulikuwa na redio ya betri au home kulikuwa na deck, halafu muziki unaopigwa ni wa Oliver N'Goma, Monique Séka au Mbilia Bel – basi bila hata kujua ulikuwa unasikiliza kazi ya Manu Lima, yule jamaa mkali aliye-produce midundo ya kukata mauno, kutema mistari ya kihisia, na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Uanachadema na mapenzi makubwa kwa Lisu! Unaamini misimamo ya Lissu itaponya Taifa letu? Nini maoni yako

    Salaaamu Wanabodi....! Ngoja tutete kidogo, imma kwa Rais wetu ajaye ama vyovyote iwavyo Tangu nimezaliwa hadi leo, nimebahatika kumuona tu kwa kipindi kifupi sana Baba wa taifa hili Mwl Julius Kamabarage Nyerere na siyo kuishi kwenye utawala wake Ila nasikia huyu baba alikuwa na misimamo...
  8. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

    Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu. Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa. Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ?

    Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea. Ni nadra kukuta kesi ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa wana simba wote wenye mapenzi na nia njema kwa timu yetu

    Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui. Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi. Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
  11. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Gentlemen commandments//the art of winning women psychology

    1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana 2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake". Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute 3.Ukimproach Mwanamke akikutaa...
  12. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

    Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani. Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mwalimu ajinyonga kisa wivu wa mapenzi

    Mwalimu Enock Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilayani Muheza mkoani Tanga, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia shuka nyumbani kwake, wakati Kesi yake dhidi ya anayedaiwa kuwa Mpenzi wake ikiwa Mahakamani. Leo Jumatano Julai 16, 2025, Mratibu Elimu Kata ya Pongwe, Rajabu Msuya amesema alifika...
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Zama za kulilia mapenzi zishapita

    Kitu ambacho siwezi kufanya ni kumlilia mtoto wa mama mkwe maana naona ni upungufu wa akili namliliaje mtu mzima afu tumekutana ukubwani tu. Tukizinguana aende tu ni bora nimpende alionizaa, kwanza mwanaume kulilia ni dhambi kubwa sana wanawake wengi sana. Mwanaume unapiga simu kwa mwanamke...
  15. B

    JamiiForums Tanzania "Mo Dewji na Simba: Mapenzi au Biashara?"

    Habari.... Utangulizi Mo Dewji ni mmoja wa wafanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika. Alipoamua kuwekeza kwenye Simba SC, wengi walijiuliza kama uamuzi wake ulikuwa kwa sababu ya mapenzi ya timu au ni sehemu ya biashara yake. Ukweli ni kwamba, uhusiano wake na Simba unachanganya mapenzi ya...
  16. DR VRM

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

  17. haszu

    JamiiForums Tanzania Ugumba/kutokushika mimba ni kati madhara ya mapenzi kinyume na maumbile ambayo sijawahi isikia ikizungumzwa.

    Mara nyingi watu huzungumzia madhara ya kuvaa pempas kwa anaefanyiwa au kuziba kwa mirija kwa anaefanya, ila nimeshangaa kuona pia kitendo hiki hupelekea mwanamke kutoshika mimba. Mwanaume anapomwaga, kwakua eneo lile sio sahihi, mwili hutengeneza ant-bodies kujilinda, kitendo hiki kinafanya...
  18. Daby

    JamiiForums Tanzania Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

    Mmekuwa na lawama nyingi mara hatuwezi kazi, mara haujafika kileleni. Mara nyingi hampo open na hili sio tatizo lenu ni malezi ya jamii. Hapa hamjulikani tuambiane kipi mnafanya tu kwenye sex ila hakina effects zozote kwenu. Wanaume tupo open saana linapokuja suala la mapenzi. Share mambo...
  19. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Wasukuma na Mapenzi

    Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi, Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, .. Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanayo pendezesha mwili

    Wapo wanaoingia kwenye mahusiano na kuambulia kukongoroka mwili, mwili kupungua na kupoteza nuru. Na wapo wanaoingia kwenye mahusiano na mtu fulani, na kujikuta mwili unaongezeka na kuwa na mvuto mzuri. Sasa utajuaje, mpenzi uliyenaye anaweza kuufanya mwili wako unenepe na kuonekana mzuri...
Back
Top Bottom