Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha.
- Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine.
- Kupendwa ni bora kuliko kupenda, ikitokea scale imeelemea kwako utafurahia na roho yako.
- Kutengeneza mahusiano mazuri na ndugu wa ukweni ni muhimu japo ni pasua kichwa sana.
- Kutofanya maamuzi nikiwa nimekolewa na utamu / mapenzi - hasa baada ya kumaliza kuchakatwa

Njoo uongeze na za kwako.