mapenzi

  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni Ladha hisia ni matokeo ya kuvimbiwa

    Ndivyo unaweza kujidai katika UGA wa mapenzi, Ladha ni ulimi Ladha ni kirungu na kila ana chake na ulimi wake kama ilivyo kwenye mbegu ya harage kila mtu na harage lake. Hata muwe mapacha hakuna Ladha ya mfanano. Ukipandwa na hisia huo ni ulevi wako
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania asie wa Chama chochote cha siasa moyoni mwake ili awe Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa uchaguzi kwa mujibu wa mapenzi ya CHADEMA?

    Yupo wapi huyo? Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais? Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi? Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe Mwanaume, Jifunze Kutofautisha Kati ya Mapenzi na Huruma Unavyokuwa Unaishi na Mwanamke

    Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa mwanamke hana ile spirit ya kupambana na maisha; kwa wenzetu wengine kulelewa na kutegemea ni kama...
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hatua niliyofikia, itoshe kusema mapenzi bai bai

    Kwa sasa hata marafiki zangu wa karibu waliokuwa wananishauri kuhusu mahusiano yangu wakiniona wanaanza kukohoa kama sio kucheka kama mimbuzi Yule wa juzi nilimfuma koridoni akiwa kwenye mzio mzito na jirani yangu Nikabaki na kiliwazio (Binti fulani hivi wa Mtwara ambaye alinitamkia kunipenda...
  5. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa anahisi kama akiwa na mpenzi wake wa kweli?

    Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo! Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious. Swali ni moja: Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu? Au...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo

    Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
  7. Mobutu JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko period?

    Wakuu, Yamenitokea Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa hajui kuwa period inaingia hiyo siku Nilipoanza shughuli nimejikuta nalowa ghafla,kutazama hivi ni...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kumbe kweli Mbowe hakuwa na Mapenzi na Chama (Chadema)

    Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
  9. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Bar was Low - vitu gani ulivumilia kwenye mapenzi zamani ambavyo ukikumbuka unajilaumu sana kujishusha thamani

    Haya walioko kwenye mapenzi The bar was soo low ndio habari ya kuulizana Tuambie kama uzi unavyouliza
  10. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mtu akisema una mashavu mtoto mzuri anakuwa anamaanisha nini, kwenye mapenzi??

    Naomba jibu wanafunzi Na mashavu yenyewe ni haya pembeni ya mdomo au kuna mengine
  11. Optimists

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

    Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina...
  12. Kasie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mi Staff Silipi....! Hii ni kwenye madaladala, hadi kwenye mapenzi unaleta ustaff....!!!????

    Mahusiano mengine ni viburudisho.... Aahahahahaa hii mitandao inafanya watu wanakuwa wehu...😅😅😅😅 Nimeuzoea huu msemo kwenye madaladala konda akianza kudai nauli kunawanaosema mi staff silipi and the like.... Sasa huyu jamaa kaimbisha demu wa watu halafu anaulizwa utatoa shilingi ngapi baada...
  13. Elly official

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamke Anayefanya Usaliti wa Mapenzi kwa Bahati Mbaya

    Habari zenu wana nzengo Katika mahusiano ya kimapenzi, usaliti ni suala linaloibua mijadala mikubwa. Ingawa mara nyingi wanawake wanaweza kujitetea kuwa usaliti wao umetokea kwa bahati mbaya, ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anayefanya usaliti bila kuwa na sababu ya msingi. Mwanamke anapohusika...
  14. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari Yangu ya Mapenzi: Kutapeliwa, Kuchezewa, na Hatimaye Kupata Mume wa KwelI.

    Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu. Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za...
  15. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MBINU 6 ZA MWANAUME KUTOSUMBULIWA NA MAPENZI/ MAHUSIANO.

    Shuka nayo, 🚨🚨🚨NB;Kama hujui kingereza achana na Mapenzi kafanye mambo mengine. 1. The Will to Walk Away From Her Most men fear losing a girl, so they cling, over-invest, and tolerate disrespect. This weakens their position and kills attraction. The man who is willing to walk away at any...
  16. Sister Abigail

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi au unaweza kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?

    Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi? Unafanya nini kustahimili muda mrefu?
  17. Raia mpya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi matamu jamani

    Ndugu zangu mbali nanyoote ila hakikisha una mpenzi anaekupenda na wewe unampenda kiufupi mpendane kweli kweli maisha yanakuwa rahisi na matamu yenye furaha ukiwa na mwenza mnaeendanda, furaha ya kweli inatokea hapo. Kama una kazi nzuri ,pesa na na kila kitu ila kama huna mwenza maisha kwako...
  18. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mada za mapenzi na mahusiano zinatrend Sana?

    Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani...
  19. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Akina mama wanajua vizuri mapenzi wanayotoa hayanunuliwi, Tajiri anaweza kunyang'anywa mke na bodaboda

    "Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura. Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa kwenye 30s alafu unamuona dogo wa 20s anavyoteseka na mapenzi, wewe unabaki unacheka tu

    Unakuta dogo anajipa moyo sana huku ameweka nyimbo za mapenzi aki reflect situation yake😂 Unakuta una experience ya haya mambo, 😂😂, muda mwingine unamshauri anakuwa mbishi kweli kwa hio unamuacha apigwe na kitu kizito ili na yeye akifika miaka ya makamo achukulie kuwa mapenzi ni isidingo. "Ooh...
Back
Top Bottom