maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Fundi Samico kuhusu ukamataji wa makahaba kiufundi; Tujifunze pamoja

    Heshima kwenu ndugu zangu! Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi! Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
  2. JamiiForums Tanzania Hebu linganisha haya mambo halafu toa maoni yako

    Hivi ndivyo wanavyotofautiana Wakenya na Watanzania Angalia hawa Halafu angalia na hawa
  3. JamiiForums Tanzania Julia loffe: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma (Wananchi)

    Akiwa anatoa hija yake kuhusu athari za habari potofu Mwandishi w Urusi Julia Loffe anaeleza: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma na kusababisha uungwaji mkono wa Sera na Viongozi wa Kisiasa wasiofaa. --- Habari Potofu huathiri Michakato ya kupata Viongozi wa Kisiasa, hushusha Imani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

    Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
  5. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
  7. JamiiForums Tanzania Maoni yangu ya kisomi kuhusu mabango ya Yanga

    Nitaelezea kwa ufupi sana maoni yangu ya kisomi kuhusiana na ishu ya mabango ya Yanga yanayoonyesha matokeo ya mechi yake na Simba yaliyopachikwa maeneo mabalimbali Dar es Salaam. Upande mmoja wamekuja na hoja kuwa walichofanya Yanga ni kuchukua maudhui kutoka Azam TV na walichofanya ni...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Haki ya kutoa maoni ni haki ya kila Mtanzania kulingana na katiba ya nchi

    Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni. Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri. Katika Katiba...
  9. JamiiForums Tanzania Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. Kwanini Makonda aseme kwamba wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni?

    Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?" Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kuwa Vegetarian. Wenye uzoefu na hii kitu naombeni ushauri na maoni

    Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk. Natanguliza shukrani.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maoni: Ifanyike tathmini ya Uchaguzi wa 2019/2020 kabla ya kufanyika uchaguzi 2024/2025

    Salaam, shalom. Baada ya kumsikiliza Kwa makini Mzee WARIOBA akihojiwa katika kipindi Cha Dakika 45 kituo Cha ITV, Kuna mambo nimeyatambua Mzee anajaribu Kutoa angalizo na umuhimu wa Serikali kutathmini kilichojiri 2020 Ili kuepuka KURUDIA changamoto zile zile. Mzee Warioba amejaribu kuongea...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni, mapendekezo na matakwa ya Watanzani yamezingatiwa kikamilifu kwenye Mkataba wa Bandari

    Serikali sikivu iliyopo Madarakani, kwa umakini mkubwa imesikiliza sauti, imezingatia maoni na imetekeleza matakwa na mapendekezo ya Wananchi wa Tanzania walio wengi kuhusu Bandari kikamilifu sana na kwa weledi wa hali ya juu mno. Sote ni mashahidi, kwenye suala la bandari mambo yamefanyika...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

    Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa. Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani. Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

    Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea. Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara...
  15. JamiiForums Tanzania Je, kilichotokea ni mpango wa Waisrael? Wataalam wa intellijensia maoni tafadhali

    Mpaka kati ya Gaza na Israel ndio mpaka unaolindwa kwa nguvu zote kuliko mipaka yote duniani. Kuna camera na teknolojia za kisasa za ulinzi, kuna patrol za mara kwa mara za wanajeshi wenye vifaa vya kisasa, kuna hadi kambi za jeshi karibu zenye ndege na vifaa vya kisasa kabisa. Iron Dome huwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi au mfanyabiashara atakayetaka kusafirisha korosho kwa barabara kuomba kibali kwa polisi na mkuu wa mkoa! Nini maoni yako?

    Mhe. Rais ameelekeza korosho yote ya Mtwara isafirishwe kwa njia ya meli kupitia bandari ya Mtwara; vinginevyo ukitaka kusafirisha kwa barabara lazima uombe kibali kwa mkuu wa mkoa na polisi ikieleza kwanini uruhusiwe kutumia barabara. Kwanini amri hii imetolewa ? Kuna faida gani kutumia...
  17. JamiiForums Tanzania Apple Event 2023 ilifanyika jana, ni yapi maoni yako?!

    Jana Apple wamezindua next generation ya iPhone na Apple Watches. Moja ya vitu nilivyopenda zaidi ni kuona wamefikia kwenye kutengeneza Carbon Neutral devices. Na kutumia material imara zaidi ulimwenguni ya titanium kwenye iPhones, ambayo yanatumika pia kutengeneza spacecraft.
  18. JamiiForums Tanzania Balozi Polepole jitokeze sasa tukuunge mkono kuwakataa wahuni

    Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025! CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia! Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtaani au kwenye mikusanyiko ya kijamii unajihisi huru kutoa maoni yako juu ya mambo mbalimbali nchini?

    Wakuu, Uhuru wa kutoa maoni umehakikishiwa na katiba katika ibara ya 18 kwa kila mtu bila kuathiri sheria za nchi. Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa mawazo yake nje. Uhuru wa kutoa maoni hautakiwi kubaki kwenye makaratasi, badala yake watu wajisi kuwa huru na waweze kutoa maoni...
  20. JamiiForums Tanzania Maoni ya Baba wa taifa kuhusu uwekezaji

    Mheshimu sana kiongozi anayeongea bila kusoma mahali... Baba wa Taifa alikuwa na maono ya Mbali sana. Nafikiri tutazidi kujifunza kutoka kwake for years. Utafakiri alikuwa analijua hili la DPW Pamoja na kubadili Sheria zetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…