maneno

Maneno was a blogging application powered by PHP, Smarty, and MySQL with content management capabilities. Initially released in October, 2008, it focused on creating a multi-theme, multi-author, multi-lingual system that works in a hosted setting [1]. The name Maneno means 'words' in Swahili and the site focused on having low latency/filesize options to make it fast to load on low bandwidth connections [2]. Additionally, it had an architecture that allowed for heavy customization by end users.
The core of the system was envisioned after a trip to the Democratic Republic of Congo in 2008 by two of the founders. They realized that while trying to write articles from the country via VSAT connections, the connection speeds proved incredibly slow and discouraging for not only them, but anyone striving to pursue citizen journalism endeavors [3]. Additionally it was shown that the language spheres of Africa had nearly no crossover between one another. Taking these issues into account and coming to the conclusion that no current blogging system adequately addressed them, this entirely new platform for blogging was created to serve the African blogging community.
Maneno was available in Bambara, English, Spanish, French, Fula, Swahili, Lingala, Portuguese, and Zulu. The available languages covered all of the lingua franca languages of Africa as well as a selection of large local African languages that were gradually added to. The site worked in allowing a user to be able to view and interact with the site in any one of the languages available for the interface as well as being able to translate articles and sections of the site via a crowdsourcing method [4].
In August 2010, Maneno announced that would be scaling back their extensive social media outreach initiatives to focus on developing the core technology of the site [5] and as of 2014, the site is now inactive.
The Board of Directors were a group of bloggers and technology enthusiasts working to expand the platform and reach out to new bloggers. Members were: Rebecca Wanjiku [6], Elia Varela Serra, Saul Wainright, and Miquel Hudin.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania TCRA/Idara ya Habari Maelezo zichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vilivyorusha maneno ya uchochezi ya Mwingira

    Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
  2. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

  3. I

    JamiiForums Tanzania NIMEGUNDUA: Mtoto wa Kitanzania hawezi akanyooka kimaadili kwa kumuhutubia tu kwa maneno

    Nina watoto wangu wawili mmoja ana umri miaka 17 mwengine miaka 15. Watoto hawa nimekua nikitumia nguvu nyingi sana kuzungumza nao, kuwa karibu nao na kuwaelekeza katika maadili sahihi na tabia njema za maisha bila mafanikio yeyote. Wananisikiliza kwa makini lakini baada ya hapo ni kama vile...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini Maana Na Tofauti ya Akili, Nafsi na Roho?

    Naomba msaada kwa mwenye uelewa anisaidie (Kwa lugha rahisi) kuelezea maana na tofauti ya maneno haya (Akili, Nafsi na Roho). Ikiwezekana kwa mifano halisi au kama kuna vitabu au tovuti ambayo inaweza kuelezea kwa kina dhana hizi za Akili, Nafsi na Roho. Nimeyasikia maneno haya mara kadhaa...
  5. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Maneno na kauli za Masikini wanapojifariji

    Faraja ya maskini ni tajiri akipata masahibu. Kuna kauli za maskini wanapotafutaga faraja. 1.Utaondoka na kuziwacha. 2.Hata mbuyu ulianza kama mchicha 3. Leo kwangu kesho kwako. 4. Licha ya mihela yako bado unagongewa mke Endelea.......
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nape kwa maneno yako chama kimerudi kwa wenyewe unamaanisha nini?

    Bwana Nape nikukumbushe tu hii nchi sio ya CCM wala ya Baba yako! Unataka kuuamisha uma ya kuwa nje ya kundi unaloliona wewe basi CCM haipo wala nchi haitawaliki! CCM itapita lakini Tanzania itabakia na kitu kikubwa kukumbuka ni kuwa Taifa ni zaidi ya ukoo au kikundi. Unauhuru wa kutoa mawazo...
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ninenapo maneno

    Ninenapo Maneno haya kwa maadui zangu hawabaki salama Zaburi35 35 Kuomba msaada 1Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga; uwashambulie hao wanaonishambulia. 2Utwae ngao yako na kingio lako, uinuke uje ukanisaidie! 3Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia. Niambie mimi kwamba...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa maneno haya ya Mzee Butiku nae hatotembelewa kwa 'Kushtukizwa' Kwake Mabwepande kama akina Msuya na Warioba?

    "Vijana lazima wajue kuwa Chaguzi za Siku hizi nchini ni za hovyo na zimejaa Rushwa, Fujo na hakuna Haki halafu Viongozi hawapendi Kukosolewa na Wananchi ili wajitathmini na wabadilike. Suala la Katiba Mpya huenda likawa na Mashiko kwa wale wanayoitaka sana hivyo wasikilizwe" Chanzo: Radio One...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa Watoto kwa njia ya maneno

    Udhalilishaji kwa njia ya maneno unatokea pale ambapo Mzazi/Mlezi au Mtu aliye karibu na Mtoto anapotumia maneno yenye kumuumiza Mtoto Kihisia kwa nia ya kumuonya au kumdhibiti Baadhi ya maneno yanayoweza kumdhalilisha Mtoto kwa kumuumiza hisia zake ni; Kumkemea au kumkaripia mbele ya hadhara...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wamiliki wa channel za youtube kuweka maneno ambayo mtu hajazugumza kwanini haipigiwi kelele

    - Uso kwa uso -Huwezi Amini -Atoboa siri Watupiana maneno Afichua mazito Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y. Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video. YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa...
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya maneno haya: Kipawa, Kipaji, Karama

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:- 1. Kipaji 2. Kipawa 3. Karama Natanguliza shukrani.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    Kumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani...
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Iringa: Nini Tafsiri ya Maneno Haya

    Niko kwenye bus la Mwendamseke natoka Iringa kwenda Mafinga, kuna mzee sijui kaharibu nini alipokaa maana watu wamemkata jicho baya naye alipogundua wenzake wamekwazika akasema "...hee nyela, mpyanilage nde muyenyo guhumwike..."
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?

    Maneno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu. Kunabaadhi ya wenzetu wameishiwa hoja hasa huku mitandaoni kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote kutumika kwa sentesi " Rais X kafanya...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Shemeji; Maneno yako ya dhihaka nimeyasikia

    SHEMEJI; MANENO YAKO YA DHIHAKA NIMEYASIKIA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwanza nikuambie tuu hapa nilipo nina shahada ya juu kabisa katika Chuo Bora hapa NCHINI, Elimu yangu sio ya kubahatisha japo unaniona ninaishi maisha ya Ndege Kwa sasa lakini tambua CV yangu kielimu ni wachache...
  17. BAK

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mwigamba

    Anaandika SAMSON MWIGAMBA June 19, 2019 Zitto ajiandae kupambana na Maalim Seif, hana hadhi ya kupambana na JPM QURAN Tukufu inasema alama za mnafiki ni tatu. Kwanza, akisema hasemi ukweli. Pili, akiaminiwa haaminiki. Na tatu, akiweka ahadi hatekelezi! Nimekaa na kufanya kazi na wanasiasa...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nimesikia uchungu sana kusikia haya maneno ya busara toka kwa Hayati Magufuli, inauma sana!

  19. Dodoma Demand

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la maneno

    Nini chimbuko la maneno haya mawili: 1. Tafsiri 2. Mawasiliano Kwa wataalamu wa kiswahili
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mwl. Nyerere kuhusu Udikteta ambayo viongozi wa sasa Tanzania wanayakwepa

    Hebu na wewe sasa utoe maoni yako ili yaingizwe moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya kifo chake
Back
Top Bottom