Maneno ya Haji Manara baada ya Simba kuzindua Jezi

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,304
MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA

Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya.

Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha

Wameweka adi happy birthday ya kanjibai eti Mo 29 hahaha
Ukiangalia vizuri makwapani wameweka adi vibanda vya MPESA hahaha

Bro hizi kazi ni za watu usione nimedamshi ukazani ni kaZi ndogo. Anyway kama utawauzia kilogram 5 kwa buku its okay 😃

Nafurahi kuskia huu mwezi hautoisha kabla ya moto mkali kuwaka kwenye nyumba yao, I'm not a fool namaanisha .
 
Mbona Haji anakua na mdomo mrefu saanaah hvyo??
Sijawah kuona mwanaume mmbea Kama huyu jamaa!!

Simba sc, haina inshu naye, kaongea kuhusu Mo wee anaona haitoshi, Sasa anamgeukia Vunja Bei na timu yake!

Kama Ni sare ya kijitonyama inamhusu Nini??

Haji manara, jifunze kwa Nugaz, mbona yeye haropokiropoki Kama wewe, au wewe Ni Bora kuliko Nugaz!?

Sometimes tumia hekima haji, unajishusha na unajipelekea uhasama na watu waliokuwa upande wko!
 
Huyu sasa anakuwa kama "Sizitaki Mbichi Hizi"
 
Manara anahitaji msaada wa Kisaikolojia,yuko kwa depression kubwa,kuondolewa Simba kumeacha maumivu makali sana ya moyo wake.Walio karibu yake na wanaompenda kweli wamsaidie aweze kuvuka salama stage hii
Depression kivip wakat anatetea ugali wake we 9.8 million kutoka laki Saba halafu asiwaseme vibaya simba wakati ndio kazi yake?
 
Mbona Haji anakua na mdomo mrefu saanaah hvyo??
Sijawah kuona mwanaume mmbea Kama huyu jamaa!!

Simba sc, haina inshu naye, kaongea kuhusu Mo wee anaona haitoshi, Sasa anamgeukia Vunja Bei na timu yake!

Kama Ni sare ya kijitonyama inamhusu Nini??

Haji manara, jifunze kwa Nugaz, mbona yeye haropokiropoki Kama wewe, au wewe Ni Bora kuliko Nugaz!?

Sometimes tumia hekima haji, unajishusha na unajipelekea uhasama na watu waliokuwa upande wko!

Mleta maada ni muongo jamaa hajaandika hayo
 
Mhurumie tajiri aliyefilisika kuliko mgojwa aliye hospital, maana tajiri hutembea na kuongea peke yake huku akirusha rusha mikono, mgonjwa huomba nurusra pekee
Haji ni mfano wa tajiri aliyefilisika
 
Mbona Haji anakua na mdomo mrefu saanaah hvyo??
Sijawah kuona mwanaume mmbea Kama huyu jamaa!!

Simba sc, haina inshu naye, kaongea kuhusu Mo wee anaona haitoshi, Sasa anamgeukia Vunja Bei na timu yake!

Kama Ni sare ya kijitonyama inamhusu Nini??

Haji manara, jifunze kwa Nugaz, mbona yeye haropokiropoki Kama wewe, au wewe Ni Bora kuliko Nugaz!?

Sometimes tumia hekima haji, unajishusha na unajipelekea uhasama na watu waliokuwa upande wko!
Hivi ameanza leo kuropoka? Mlikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom