Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,638
- 218,073
Hebu na wewe sasa utoe maoni yako ili yaingizwe moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya kifo chake
Unataka kusema Nyerere hakuyatamka haya ?Mmmh hayo ni maelezo ambayo mtu alikaa akayatunga na akaamua kuweka picha ya Nyerere
Hata Sarwat enzi hizo aliibuka mshindi akiwa mgombea binafsi ktk Jimbo lile la dr. SlaaMwalimu Nyerere, kwa nyakati zake, alikuwa kiongozi mwanademokrasia. Nilishuhudia chaguzi za ubunge ndani ya chama kimoja, wakati huo nikiwa shule ya msingi, hakika mfumo ule kwa namna yoyote ulikuwa hauruhusu wizi wa kura kama huu uliopo sasa.
Mwalimu was high IQ, super intelligent na mkweli wa nafsi yake. Mambo hayo yaliwafanya Watanzania wampende Mwalimu kipindi chote, bila ya kujali shida walizokuwa wakizipitia.
Hata hii ya kukalia kiti bila kikomo ni UDIKTETA na kinyume na madhumuni ya uanzishwaji wa chama. Chama kimeitwa cha "Demokrasia" na "maendeleo" lakini demokrasia na maendeleo ndani ya chama hamna. Labda mzee Mtei na Bob Makani tu ndio walijitahidi kuuiheshimu katiba ya chama kwa kukaa madarakani vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama isemavyo katiba ya chama chao. Na muda wao ulipoisha waliwaachia wengine kwa njia ya amani na sheria ya chama.Hebu na wewe sasa utoe maoni yako ili yaingizwe moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya kifo chakeView attachment 1973831
Demokrasia yake ilikuwa ni kwenye ubunge tuMwalimu Nyerere, kwa nyakati zake, alikuwa kiongozi mwanademokrasia. Nilishuhudia chaguzi za ubunge ndani ya chama kimoja, wakati huo nikiwa shule ya msingi, hakika mfumo ule kwa namna yoyote ulikuwa hauruhusu wizi wa kura kama huu uliopo sasa.
Mwalimu was high IQ, super intelligent na mkweli wa nafsi yake. Mambo hayo yaliwafanya Watanzania wampende Mwalimu kipindi chote, bila ya kujali shida walizokuwa wakizipitia.
Asante sanaMachache yangu haya hapa
No connectionHata hii ya kukalia kiti bila kikomo ni UDIKTETA na kinyume na madhumuni ya uanzishwaji wa chama. Chama kimeitwa cha "Demokrasia" na "maendeleo" lakini demokrasia na maendeleo ndani ya chama hamna. Labda mzee Mtei na Bob Makani tu ndio walijitahidi kuuiheshimu katiba ya chama kwa kukaa madarakani vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama isemavyo katiba ya chama chao. Na muda wao ulipoisha waliwaachia wengine kwa njia ya amani na sheria ya chama.
View attachment 1973864
Ok sisteriNo connection
Lkn ni kweliNo connection
Aliijua na alionya tusilete rais mpuuzi atatusumbua.Umesahau?Ye ndo muasisi wa katiba ya kidikteta
Kwa nini usigombee weye ili yeye atoke?Hata hii ya kukalia kiti bila kikomo ni UDIKTETA na kinyume na madhumuni ya uanzishwaji wa chama. Chama kimeitwa cha "Demokrasia" na "maendeleo" lakini demokrasia na maendeleo ndani ya chama hamna. Labda mzee Mtei na Bob Makani tu ndio walijitahidi kuuiheshimu katiba ya chama kwa kukaa madarakani vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama isemavyo katiba ya chama chao. Na muda wao ulipoisha waliwaachia wengine kwa njia ya amani na sheria ya chama.
View attachment 1973864
Mi sio mwanasiasa na sina chama dada angu. Ila kwa vile mada inazungumzia udikteta basi nimeona umuhimu wa kukumbushia demokrasia ndan ya vyama ili kuondoa dhana ya udikteta vyamani. Na mtu mmoja asijifanye kuwa yeye ndio mwenye akili, mwenye uwezo wa kuongoza chama peke yake na mjuaji zaidi ya wenzake ambao hawezi kuwaachia chama waongoze nk.Kwa nini usigombee weye ili yeye atoke?
Ilitakiwa aibadili kwanza katiba yake ya kidikteta aliyoicopy toka kwa swahiba wake dikteta mao zedong wa China.Aliijua na alionya tusilete rais mpuuzi atatusumbua.Umesahau?
Lakini alikuwa muungwana na kukubali makosa yake.Alionya kwamba tusifuate makosa yake.Turekebishe.Ilitakiwa aibadili kwanza katiba yake ya kidikteta aliyoicopy toka kwa swahiba wake dikteta mao zedong wa China.
Kilichomsaidia asiwe pure blood dikteta yaani dikteta muuaji kama bokasa,mobutu,mugabe,moi,abacha nk,ni asili ya alipotoka alitoka kwenye familia yenye maadili na inayoheshimu utu.Angetoka kwenye familia za hovyo hovyo kama za madikteta hao wengine angemaliza watu. familia bora haiwezi zalisha dikteta.