Simba maneno mengi acheni timu tumeiona leo

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,719
Nilikuwa nasubilia kwa hamu Sana nione timu inayosemwa iko vizuri msimu huu maana yanga ilipofungwa na zanaco kuna wajinga fulani fulani humu waliibuka na kuanza kutoa kila aina ya kejeli na maneno ya udaku, sasa tumewaona live hakika mtamkumbuka chama na mikson, mapengo yao yameonekana dhahiri shairi.

Mnabaki kumtegemea Morrison akibanwa ndo ivyo kwaheri mwalimu, tunaangalia vitu kiufundi zaidi Kama tp mazembe wangekuwa makini leo kwenye safu ya ushambuliaji wangeondoka na goli 4, shukrani kwa manura, amekuwa bora Leo vinginevyo mngepata aibu ya mwaka.

Hatutaki porojo za kusema eti kocha alikuwa anaangalia kikosi kwakuwa hoja hiyo ilikataliwa kwa yanga ivyo basi mnayo kazi ya ziada na nyie kuitengeneza timu la sivyo mkishupaza shingo na kujiona bado mnao ubora ule ule mtakipata cha moto.

Kwanza nendeni kwenye takwimu za mechi za kirafiki karibu zote safu yenu ya ulinzi imeruusu magoli ata mlizoshinda pia magoli mliruusu sasa iyo ni alarm inatakiwa mshtuke vinginevyo tutakuja na utetezi mwingine apa siku sio nyingi.

Mnawacheka yanga lakini na nyie ugonjwa ni ule ule
 
Nilikuwa nasubilia kwa hamu Sana nione timu inayosemwa iko vizuri msimu huu maana yanga ilipofungwa na zanaco kuna wajinga fulani fulani humu waliibuka na kuanza kutoa kila aina ya kejeli na maneno ya udaku, sasa tumewaona live hakika mtamkumbuka chama na mikson, mapengo yao yameonekana dhahiri shairi, mnabaki kumtegemea Morrison akibanwa ndo ivyo kwaheri mwalimu, tunaangalia vitu kiufundi zaidi Kama tp mazembe wangekuwa makini leo kwenye safu ya ushambuliaji wangeondoka na goli 4, shukrani kwa manura, amekuwa bora Leo vinginevyo mngepata aibu ya mwaka, Atutaki porojo za kusema eti kocha alikuwa anaangalia kikosi kwakuwa hoja hiyo ilikataliwa kwa yanga ivyo basi mnayo kazi ya ziada na nyie kuitengeneza timu la sivyo mkishupaza shingo na kujiona bado mnao ubora ule ule mtakipata cha moto,,,Kwanza nendeni kwenye takwimu za mechi za kirafiki karibu zote safu yenu ya ulinzi imeruusu magoli ata mlizoshinda pia magoli mliruusu sasa iyo ni alarm inatakiwa mshtuke vinginevyo tutakuja na utetezi mwingine apa siku sio nyingi,
Mnawacheka yanga lakini na nyie ugonjwa ni ule ule

Utopolo naona umevurugwa haswa.
 
Aisee ndio yamekuwa hayo😳
20210919_214017.jpg
 
Maneno ya mkosaji hayo.
Return of champion imeishia Nigeria,hamasa za Manara zimeshindwa kuleta ahueni kwa Yanga kwasababu ya timu lenu bovu.
 
Back
Top Bottom