Mtoto aliyejulikana kwa jina la Dotto mwenye miaka 10 mkazi wa kijiji cha Chalinze Mzee wilaya ya Chalinze amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo.
Imeelezwa kuwa amejinyonga baada ya kukatazwa na mama yake mzazi asiende kwenye muziki (kigodoro).
Chanzo: EATV
Kuna mwaka niko mitaa ya Mwananyamala nikakutana na dada fulani wa kizaramo anaitwa Somoe.
Ni wale waswahili OG sema Mungu alimjalia sura na umbo zuri.
Nikaimbisha nikakubaliwa nikawa najimegea show za kibabe.
Tangu nibalehe sijawahi kutana na fundi kitandani kama Somoe
Akanitegeshea mimba...
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
"Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu...
Copy na ku-paste, Mimi sio mwandishi
Mwambie anipigie ni mimi mama yake! Mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana.
Mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie...
Hukumu imetolewa na Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora dhidi ya Haruna Ndayanze baada ya kumkuta na hatia ya mauaji hayo kwa madai alibaini Mama wa mtoto anatumia Vidonge vya Kufubaza Virusi vya UKIMWI.
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya, Demetrio Nyakunga alisema Mahakama imeridhika na ushaidi na...
Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika.
Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao umezungukwa na watu wenye dini. Mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na misikiti miwili, madrasa tatu na...
Fatma naona ana vita binafsi na Comrade Mwingulu, kweli swala la tozo angekuwa yeyote hata yeye Shangazi angefanya kama anavyofanya Comrade Mwingulu. Ndiyo kiapo chake kinavyotaka kupokea maelekezo ya mamlaka za juu yake mfano bunge na kutekeleza, kama hutaki maelekezo andika barua ya kujiuzulu...
Wapinzani wake wanasema kuwa anatumia juhudi nyingi sana za mazoezi na kujizuia kula ili asinenepe. Kweli ni mnene anayejikondesha ama ni kimbau mbau wa asili?
Najua kuna watu watakuja na mambo ya kizungu ya utafiti, sayansi, research, n.k lakini haya mambo ya asili yana upekee wake yaachwe kama yalivyo,,, mfano wa sisi tulioishi bush kidogo, kidole kikiingia funza, tiba asili ni kuchuma ndulele na kuivika kwenye kidole unapona fasta tu, ni tiba ya...
Wapenzi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua bibi kizee wa miaka 100 kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati wakigombea ardhi.
Bibi huyo, Felister Silayo, mkazi wa Kijiji cha Kirongo juu, Kata ya Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo alifikwa na umauti...
Kigoma. Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia.
Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2022 Kamanda wa...
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi.
Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea...
Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi.
Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
Sikufahamu kwalo!
"...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!"
Mdau.
Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari kukamilika.
Sasa anataka kusimea mafunzo ya upishi kama ahadi zao walizoahidiana kabla ya ndoa. Mume...
Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na...
Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti.
Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja.
Niwafundishe maadili...
Mwanamke mmoja nchini Kenya aitwaye Martha Wanjiku, ameeleza kisa chake, baada ya kubaini mama yake mzazi amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mume wake kwa zaidi ya miaka 25.
Martha ameeleza kwamba aliolewa na mwanaume huyo na ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili pekee na ilipofika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.