Patrick Mumo(45) anatafutwa na polisi wa kaunti ya Makueni, Kenya kwa tuhuma za kumbaka mama yake mwenye miaka 90.
Kijana huyo alifanya unyama huo na kukimbia ambapo mama huyo aligundulika na mwanae mdogo alipokuwa akilalamika kuwa na maumivu ya kiuno.
Akisimulia tukio hilo amesema Patrick...
Kuna wakati nashawishika kuamini hata bibilia huenda iliandikwa kwa utaratibu kama huu wa wahenga!
Mfano misemo hii ingekuwa na majina ya wahenga ingeleta maana ileile ya kibiblia!
Mhenga 1:1 Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo
Mhenga 1:2 Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
Mhenga 1:3 Asiyefunzwa na...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Julius Mzava (26) Mkazi wa eneo la usalama Chang’ombe Wilaya ya Temeke kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Magdalena Peter (56) kwa kumchoma kisu sehemu ya mwili wake.
Tukio hili limetokea tarehe 08/10/2021...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake wa kumzaa kutokana na kile kinachodaiwa ni migogoro ya kifamilia iliyotokana na kugombania mali.
Hayo yamesemwa leo Jumanne, Julai 27, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Kindi Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumuua mama yake mzazi, Marietha Mushi (62) kwa kumnyonga na shuka, kisha kumpiga na kitu kizito kichwani na kumng’oa macho.
Habari zinaeleza kuwa mama huyo alikuwa na ulemavu wa mkono jambo...
Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.
Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.