Zuchu ana asili ya unene au wembamba?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,307
33,925
1662145644980.png


Wapinzani wake wanasema kuwa anatumia juhudi nyingi sana za mazoezi na kujizuia kula ili asinenepe. Kweli ni mnene anayejikondesha ama ni kimbau mbau wa asili?
 
Back
Top Bottom