Dig Deeper-Hotuba ya Mama
Na Malisa GJ
Kimsingi mama anaisuka Tanzania mpya, lakini hataki sindano iwaume sana wale chawa wa mwendazake, hivyo anachoma halafu anawapuliza kwa kuwaambia kuwa yeye na mwendazake ni kitu kimoja.
Wakishangilia anaongeza sindano nyingine. Wakishtuka anapuliza tena...