Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua.
Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani...