malipo

  1. JamiiForums Tanzania Mwendazake alitumia muda mwingi kuwatukana wengine, sasa ni malipo yake

    Heshima yenu wakuu Kinachotokea kwa sasa mitandaoni, bungeni na mitaani ni matokeo yaliyopandwa na mwendazake. Bungeni kuna mmyukano mkali, mitandaoni ndio hakufai. Wapo wanaomponda mwendazake na wapo wanaomsifia. Jambo moja la kuweka kichwani ni kuwa mwendazake alipokuwa hai wasifiaji na...
  2. JamiiForums Tanzania Sarafu za malipo ya ngono enzi za Utawala wa Warumi

    Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie ya SPartacus. Because they show exactly what they were ment for - to pay a prostitute. Those coins...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo alia na malipo makubwa bodi ya mikopo na serikali kutopandisha mishahara ya wafanyakazi

    Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15% Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China)...
  5. JamiiForums Tanzania Clouds yatoa ufafanuzi malipo ya TSh milioni 629 yaliyotajwa na CAG

    Meneja wa fedha wa kampuni ya Clouds Media Group, Issa Masoud amesema walitoa vielelezo vyote ikiwa ni pamoja na stakabadhi kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kufuatia malipo ya Sh 629.7 milioni kwa ajili ya matangazo ya tamasha la urithi mwaka 2018. Masoud ametoa ufafanuzi huo leo Alhamisi...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhusu malipo kwa walimu wastaafu

    Kwema wakuu? Mwenye ufahamu kuhusu malipo ya walimu wastaafu yanavyofanyika naomba anipe ujuzi, je hela wanaingiza yote au wanaingiza kidogo kidogo au wanaipiga pini hadi muda fulani upite. Maana beki hazikabi uchumi umekaa tenge nataka nirudishe mpira kwa kipa kwa mtu fulani nasikia mpunga...
  7. JamiiForums Tanzania Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

    Ujumbe naowapa ndugu zangu mchana wa leo ni kwamba tutende wema. Usimuumize mwenzio. Malipo ni hapahapa duniani. Mtag ndugu yako mwambie malipo ni hapa hapa duniani. Kuna watu leo hii wanateseka wanatamani wafumbue macho waombe msamaha lakini wapi
  8. G

    JamiiForums Tanzania Fedha ya kupigia rangi viatu vya Traffic zinaharibu Noti zetu kwa malipo halali

    Katika Watanzania wanaoziharibu (Fedha za Noti) za Tanzania ni makondakta & madereva wetu wa vyombo vya moto yaani magari ya abiria na mizigo wakishirikiana na wasimamizi wa Sheria za nchi hii (Traffic). Fedha tajwa hapo juu hutolewa kwa njia ya kidhalilishaji kwa sarafu zetu na askari pia...
  9. JamiiForums Tanzania Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) wakanusha kuondoa malipo ya Oksijeni na dawa kwa wagonjwa wenye shida ya upumuaji

  10. JamiiForums Tanzania Ni Kazi gani halali usiyoweza wala kutaka kuifanya hata kama ina malipo mazuri

    Mimi kazi ya jeshi,polisi na ualimu...ni BIG NO Wewe je??
  11. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
  12. JamiiForums Tanzania Ndio! Mazingira magumu ya kufanya kazi; Ndio! Malipo ya chini; Ndio! Hata hivyo sio kisingizio cha kubaka na kushambulia wagonjwa na wanafunzi

    Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala. Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kujua kipengele cha malipo ya likizo "incidental expenses on journey"

    Wasalaam wana JF Najua humu kuna wajuzi na wataaluma wa mambo mbalimbali. Nataka kujua kuhusu malipo ya likizo. Kuna hiki kipengere cha "Incidental expenses on journey" kina hitaji mwajiriwa alipwe katika mazingira yapi, maana kuna anaye safiri siku tatu ndipo anafika kijijini kwao hasa msimu...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima kwa wanafunzi wa elimu ya juu kulipa Bima ya Afya (NHIF)?

    .
  15. JamiiForums Tanzania Likizo bila malipo ipoje hii? Ufafanuzi please

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa ambao walikuwa ndani ya utumishi wakaomba likizo bila malipo utaratibu wake upoje. Kwa maana kwamba naanzia wapi ili nipate na huwa wanatoaga muda gani? (miaka)
  16. JamiiForums Tanzania Hii mitandao kama 'Tinder' na 'Badoo' inaweza kutumika bila malipo? Maana siwezi hata kutuma meseji

    Leo katika kuchezea chezea simu nimekutana na mitandao ya kujuana, kuwa marafiki, kupeana kampani na hata kutafuta wapenzi. Sasa nmeingiza app inaitwa badoo, tagged na tinder zote naona bila malipo ni sawa na kutoweza kuzitumia. Unakuta unataka umtumie mtu meseji inakwambia ulipie elf 30 kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

    Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambayo ni mpya tunatarrajia ifanye mambo makubwa ya kuongeza ajira kwa vijana mitandaoni. Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, malipo ya NEMC

    Mimi ni mfanyabiashara, ya kuuza spea za malori, biashara ipo katika jengo la ghorofa 3 yani chini, 1st na 2nd floor, chini ndio biashara ilipo na juu ni makazi, sasa nilitaka kujua kuna malipo yoyote ya kila mwaka natakiwa nilipe NEMC kutokana na floor zilizopo hapa? Natanguliza shukurani
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaotoa magari bandarini kwa kukopesha malipo ya kodi

    Wadau salama hapa ndani? Niliwahi kusoma uzi hapa JF kwamba kuna raia wanaosaidia kutoa gari bandarini hata kama huna pesa ya kulipia TRA mnaingia makubaliano ya kulipia kidogo kidogo baada ya yeye kulipa. Hii imekaaje? Hakuna utapeli ndani yake? Nina mpunga kidogo hapa ambao unatosha tu...
  20. JamiiForums Tanzania Malipo ya usafiri wakati wa kuanza kazi na kumaliza mkataba

    Niliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja ya fedha . Hata hivyo nililipwa pesa ya mafunzo na nauli pekee nikitarajia kulipwa malipo ya kusafirisha mizigo na kujikimu lakini hawakufanya hivyo japo mkataba ulionesha naajiriwa kutoka Moshi kwenda Lindi, ingwa wakati wa kumaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…