Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 938
Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine.
Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza kukatika katika.
Baada ya muda akarudisha watu wale wale kwenye bodi ya Tanesco ambao JPM aliwatoa, ambao walikuwepo kipindi cha kata kata ya umeme.
Tulianza kuambiwa umeme unakatwa kwa sababu ya marekebisho ya miundombinu.
Haukupita muda tukambiwa katika katika ya umeme ni kwa sababu ya ukame na maji kupungua kwenye mabwawa ya uzalishaji. Mungu si athumani mvua zikamwagika
Sasa tumetangaziwa officially kuhusu mgao ambao umekuwepo kwa miezi kadhaa, mara hii tukiambiwa ni kwa siku 10.
Huyu mtu hafai hii wizara. Dunia ya leo mgao wa umeme linatakiwa liwe jambo la kufikirika. Rais Samia toa huyu mtu hapa, kuna 'wizara za kuchezea' ila sio hii.
NB: HAIWEZEKANI HATA MWAKA HAUJAPITA TANGU JPM AFARIKI TAYARI TUNAELEKEA PRE-JPM ERA KWA KASI YA KIMBUNGA.