Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,327
33,134
Mafuriko Makubwa yaliyotokea nchini India kila mtu akijaribu kumuokoa mungu wake asipatwe na mafuriko. Loooh Majanga kweli kweli.

AMA KWELI AKILI NI NYWELE KILA MTU ANA ZAKE.jpg
 
Mungu gani sasa hawezi kujiokoa mwenyewe

Hata Mungu wa wakristo au waislamu hawezi kujitetea yeye mwenyewe.

kwa ufupi Mungu hayupo.
Kwa waislamu ukimsema vibaya Allah, unachinjwa au kulipuliwa.

kwanini wasimuache ajitetee yeye mwenyewe?
kwa sababu hayupo.
 
Hata kabla ya wazungu na waarabu kutuletea hizo imani zao hata African ilikuwa d same kama hao indians, vile baada ya ustaarabu wa dini hizo kuja nao mnaonekana mmeadvance!.
 
umeletwa na Nani duniani.?
Hata Mungu wa wakristo au waislamu hawezi kujitetea yeye mwenyewe.

kwa ufupi Mungu hayupo.
Kwa waislamu ukimsema vibaya Allah, unachinjwa au kulipuliwa.

kwanini wasimuache ajitetee yeye mwenyewe?
kwa sababu hayupo.
 
Aisee hivi kumbe unaweza ukawa na lisanam lako unaliabudu ukavamiwa na panya road likapiga ukunga uliokoe.
 
Hata Mungu wa wakristo au waislamu hawezi kujitetea yeye mwenyewe.

kwa ufupi Mungu hayupo.
Kwa waislamu ukimsema vibaya Allah, unachinjwa au kulipuliwa.

kwanini wasimuache ajitetee yeye mwenyewe?
kwa sababu hayupo.
THIBITISHA.... Haiwezekani uamini uwepo wa hewa/upepo kwa kuhisi tu bila ya kuuona na kuushika "visible and tangible" ikiwa ndiyo uhai wako wenyewe huo (roho) afu upinge uwepo wa Mungu.

Inamaana Binadamu wa kwanza duniani walitokeatokea tu kwa zali la mentali bila kuumbwa na uwepo wa Mungu?
 
Tangu nijue yule waziri mkuu wao anakula mavi ya ng'ombe na anamuabudu ng'ombe niliwaona watu wa ovyo sana ...
 
Hata Mungu wa wakristo au waislamu hawezi kujitetea yeye mwenyewe.

kwa ufupi Mungu hayupo.
Kwa waislamu ukimsema vibaya Allah, unachinjwa au kulipuliwa.

kwanini wasimuache ajitetee yeye mwenyewe?
kwa sababu hayupo.
Mungu yupo ila hawezi kuonekana kwa macho ya binadamu. Kwa mfano wewe ni mwanamume una mke wako ninakuja mimi dume ninamshika maziwa mbele yako hutoweza kumtetea mke wako ninamdhalilisha mbele yako? Basi na Waislam hawataki umdhalilishe Mungu wao . Na hivyo hivyo Wakristo wana Mungu wa Bwana yesu aliyefia msalabani na Maria mama wa Mungu ukienda kanisani kuwadhalilisha sidhani kama waumini aka Wakristo watakuacha uwa dhalilishe Mungu wao pamoja na mama wa Mungu. Na Ndio hivyo hivyo hao wahindi wanawaokoa Waungu wao feki ili wasidhurike na mafuriko ya maji.
 
THIBITISHA.... Haiwezekani uamini uwepo wa hewa/upepo kwa kuhisi tu bila ya kuuona na kuushika "visible and tangible" ikiwa ndiyo uhai wako wenyewe huo (roho) afu upinge uwepo wa Mungu.

Inamaana Binadamu wa kwanza duniani walitokeatokea tu kwa zali la mentali bila kuumbwa na uwepo wa Mungu?

Sasa mimi nithibitishe nini?

Halafu wafia dini kuna kitu hamuelewi, mimi sitaki nimuone Mungu au nimshike ndipo niamini yupo.

Kwa akili ya kawaida ukizisikia stori zake kwenye biblia au quran unaelewa ni Uongo.

Angalia, wakristo wenyewe wapo wanaosema Yesu ni Mungu, wapo wanaosema Yesu ni mtoto wa Mungu.
hapo ni wakristo wenyewe wanatofautiana.

Sasa ikiwa nyie wenye imani yenu hamuelewani, mtamshawishi vipi mtu asiye wa imani yenu?

Malizeni tofauti zenu kwanza kuhusu mnachoamini.

Waislamu wenyewe hata kuizungumzia imani yao ni aibu tupu.
Imani imejaa utoto mwingi na vitisho.
 
waache wenye imani zao waziamini na wewe usiyeamini kuwa hivyo hivyo na upotofu wako ngojea siku utakayo kufa ndipo utayaona yote uliyokuwa ukiyatenda hapa duniani utalipwa na utatamani urude duniani kumuabudu Mungu na kutubu makosa yako uliyoyafanya lakini wapi? wakati wako umeshapita utangojea hukumu yako ya kwenda motoni au kwenda peponi Mungu atakuhukumu kwa yale yote uliyo yatenda hapa duniani.Kaa na upotofu wako.
 
Na kwanini useme mimi nimepotoka?

Kwani wewe hauwezi kuwa umepotoka?

Mimi siijui imani yako, ila kama wewe ni muislamu, basi ujue mkristo anakuona wewe umepotoka na umepotea njia.
Hivyo hivyo kwa muislamu anamuona mkristo amepotoka na amepotea njia.

Sasa kama nyie mnaoamini katika Mungu mnatofautiana, inakuwaje mseme mimi ndiye nimepotoka? Huoni nyie ndiyo mmepotoka na kukaririshwa ujinga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom