Ukitaka kuoa nchini Papua Guinea masharti yake hayo hapo chini

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,329
33,138
Huko nchini Papua Guinea kuna kabila linaitwa Dani ambalo mwanaume anapotaka kuoa, sharti akate kidole chake cha mkono wa kulia na kumpelekea mkewe mtarajiwa kama sehemu ya mahari na upendo wake wa dhati kwake.

Na kama mwanaume anataka kumpa talaka mkewe, pia ni sharti akate vidole vyake viwili vya mkono wa kushoto kama takwa la talaka.

Na kama mume akifa, mkewe ni sharti akate vidole vyake vyote vya mikono kama ishara ya upendo na uaminifu na kiapo kwake kuwa hataolewa na mwanaume mwingine tena baada ya mumewe kufa.

PAPUA GUINEA.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom